Kwa hiyo Ambassador hajafa ? Na huyo aliyemuua naye hajafa ? Vitu vingine bana
Kwa hiyo hata mazishi yaliyofanyika Moscow ni fake?
Kwa hiyo Ambassador hajafa ? Na huyo aliyemuua naye hajafa ? Vitu vingine bana
mkuu sawa critical thinking lakini si9 kwa tukio kama lile la balozi wa russia ambalo liko uchi kabisa..Kuna baadhi yenu humu mnataka tuwe tunamezeshwa tu na kuamini kila habari tunayoletea kwa face value,bila kuifanyia analysis yoyote.huo ni ukondoo.hata mtu akikuletea taarifa imhusuyo nduguyo ama mkeo lazima uhoji na udai ushahidi na maelezo ya ziada,lakini eti ukisikia habari CNN basi waiamini moja kwa moja bila hata kuhoji,ni sawa na ile habari ya osama kuuwawa na kuzikwa baharini.huko ni kukosa critical thinking
Naona umekomalia sana na mfano wa CNN,kwa hiyo hata RT walivyotangaza nao waleingia kwenye huo mkenge If your doubt it true..Na pia kule Moscow walizika mtu fake.Kwa mantiki hiyo basi,Kana ni mazingaumbwe basi yatakuwa yalipangwa na Putin pamoja na serikali ya Uturuki.CNN,BBC hawana kosa katika hili kwani wali report taarifa iliyotolewa na serikali ya uturuki siku ya tukio.Kuna baadhi yenu humu mnataka tuwe tunamezeshwa tu na kuamini kila habari tunayoletea kwa face value,bila kuifanyia analysis yoyote.huo ni ukondoo.hata mtu akikuletea taarifa imhusuyo nduguyo ama mkeo lazima uhoji na udai ushahidi na maelezo ya ziada,lakini eti ukisikia habari CNN basi waiamini moja kwa moja bila hata kuhoji,ni sawa na ile habari ya osama kuuwawa na kuzikwa baharini.huko ni kukosa critical thinking
Kwel mkuu weng hapa hawaelew kwamba sisi hapa tunataka kudadavua mambo co kumezeshwa tu kila habar hata km inatia mashaka bas tukubal tu. PIa ieleweke cc hatuna mlengo ktk hilKuna baadhi yenu humu mnataka tuwe tunamezeshwa tu na kuamini kila habari tunayoletea kwa face value,bila kuifanyia analysis yoyote.huo ni ukondoo.hata mtu akikuletea taarifa imhusuyo nduguyo ama mkeo lazima uhoji na udai ushahidi na maelezo ya ziada,lakini eti ukisikia habari CNN basi waiamini moja kwa moja bila hata kuhoji,ni sawa na ile habari ya osama kuuwawa na kuzikwa baharini.huko ni kukosa critical thinking
Mkuu hii habari imekuja na video kabisa na ndo tunayoijadili,nimetolea mfano wa CNN kumjibu Brother Ngabu kuwa sio kila kinachoripotiwa kina ukweli 100% regardless nani katoa taarifa RT,BBC,aljazeera,jirani yako,rafiki etc.tunajaribu kuichambua hii taarifa,kuona ukweli ni upo sjaconclude kuwa jamaa hajafa ama kafa,nachosema ni kuwa katika dunia anything is posiboNaona umekomalia sana na mfano wa CNN,kwa hiyo hata RT walivyotangaza nao waleingia kwenye huo mkenge If your doubt it true..Na pia kule Moscow walizika mtu fake.Kwa mantiki hiyo basi,Kana ni mazingaumbwe basi yatakuwa yalipangwa na Putin pamoja na serikali ya Uturuki.CNN,BBC hawana kosa katika hili kwani wali report taarifa iliyotolewa na serikali ya uturuki siku ya tukio.
Okey lets assume hajafa na ile video ni fake.Sasa tujiulize ni kwa nini russia wa plan kitu kama hicho?Mkuu hii habari imekuja na video kabisa na ndo tunayoijadili,nimetolea mfano wa CNN kumjibu Brother Ngabu kuwa sio kila kinachoripotiwa kina ukweli 100% regardless nani katoa taarifa RT,BBC,aljazeera,jirani yako,rafiki etc.tunajaribu kuichambua hii taarifa,kuona ukweli ni upo sjaconclude kuwa jamaa hajafa ama kafa,nachosema ni kuwa katika dunia anything is posibo
Mkuu hii habari imekuja na video kabisa na ndo tunayoijadili,nimetolea mfano wa CNN kumjibu Brother Ngabu kuwa sio kila kinachoripotiwa kina ukweli 100% regardless nani katoa taarifa RT,BBC,aljazeera,jirani yako,rafiki etc.tunajaribu kuichambua hii taarifa,kuona ukweli ni upo sjaconclude kuwa jamaa hajafa ama kafa,nachosema ni kuwa katika dunia anything is posibo
Nachojaribu kushawishi baraza ni kuwa TUJADILI matukio,tuangalie angle tafauti tafauti,tusidismiss kila hoja kuwa ni conspiracy theory na badala yake tutoe hoja kuonyesha kuwa kisemacho kina ukweli ama laa,tukipata analysis tafauti tafauti tunakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kupanua fikra na kulielewa jambo kwa undani.Kwa hiyo wewe unachosema au unachodhani ni kipi?
Kwamba huyo balozi hajafa kwa kupigwa risasi, siyo?
Kwamba dunia nzima imedanganywa, siyo?
Very interesting!!!Japo mimi co mtaalam wa haya mambo pia nami nina mashaka na hii kitu ingawa pia naweza nisiwe sawa.
_kwa nini hakukuwa na tone lolote la damu?
_kwa nini huyu balozi alionekana amereact kama amepigwa risasi kwa kukunja sura kabla hata risasi haijampata?
_kwa nini baada ya kudondoka chini hakuonekana kugalagala akikata roho bali alidondoka chini na kukata roho ghafla kitu ambacho hakiwezekani?
Bado hujajibu point za mleta post mkuu,mbona hoja zake zina mashiko kabisa,tukio kuwa uchi haimaanishi haliwezi kuwa stagedmkuu sawa critical thinking lakini si9 kwa tukio kama lile la balozi wa russia ambalo liko uchi kabisa..
Afu hayo maswali kuhusu damu au makasha ya risasi au pia kamera kutingishika...anatakiwa akumbuke ile sio movie kusema itakua onpoint kila kitu zile video zimetoka kwenye kamera ambazo zilikua zinashoot event..
Mkuu hapa tunaijadili tu ile video na yalotokea ndani yake ,Swala ls motives za russia ni out of context,kwanza tunajaribu kutathmini tukio zima na jinsi lilivyotokea sababu limejaa sintofahamu.Kuhusu jamaa kuwa hai ama laa hilo analifahamu zaidi coroner aliemfanyia autopsy na familia yake.Okey lets assume hajafa na ile video ni fake.Sasa tujiulize ni kwa nini russia wa plan kitu kama hicho?
Wewe umekariri sinema za Rambo.Japo mimi co mtaalam wa haya mambo pia nami nina mashaka na hii kitu ingawa pia naweza nisiwe sawa.
_kwa nini hakukuwa na tone lolote la damu?
_kwa nini huyu balozi alionekana amereact kama amepigwa risasi kwa kukunja sura kabla hata risasi haijampata?
_kwa nini baada ya kudondoka chini hakuonekana kugalagala akikata roho bali alidondoka chini na kukata roho ghafla kitu ambacho hakiwezekani?
Amekariri ki vipi?..Kwani anachosema hakipo kwenye hiyo video?Wewe umakariri sinema za Rambo.
Inashangaza sana mkuu hv huyu naye pia anataka kuitwa Great thinker kwa huu ujinga anaouleta. Hawa watoto wa siku hiz wanajua tu kunyoa vidukuAmekariri ki vipi?..Kwani anachosema hakipo kwenye hiyo video?
Dogo il jukwaa likufae lete hoja vinginevyo peleka facebook huo ujinga.Wewe umakariri sinema za Rambo.