Russian Ambassador killing is Fake

Russian Ambassador killing is Fake


Nonda Ahsante kwa Video hizo. Ni kweli kabisa kuwa Israel haikuwataka WAKRISTO maana iliamini Holocaust ilifanywa na wakristo hasa Hitler alipowauwa wengi akitumia dini fulani ya Kikiristo ambayo sitaitaja.

Mpaka juzi walipojua kwamba wakristo si ADUI zao bali ni RAFIKI zao. Ni kweli huwezi kujiunga JESHINI kama wewe ni Mkristo maana hata huyu Yesu HAWAMTAMBUI.

Hata hivyo maandiko yanasema in Romans chapter 11kuwa they are BLINDED for a time baadaye Macho yao yatafunguliwa. By virtue of their PATRIARCHS they are chosen race. Until the FULL number of the GENTILES has come in.Hope umenielewa ndugu yangu!
 
Pengine uniambie je ni nani unafikiri aliwauwa? Ndo nikujibu
Niambie nani walimnyanyua na kumbeba Hitler? Nani walimsaidia na kujaza mifuko ya Hitler ili atwae madaraka?
Kama una majibu ya hayo, naomba tuishie hapo kwa sababu haya mengine utakuwa unayafumbia macho ili kukidhi kiu ya "chosen people" bila ya kuitambua dhana yenyewe.
 
Soma kilichoandikwa kwenye hiyo link na baadae kama hukubaliani na hayo yaliyomo rudi na hoja zako.
Usijianike juani. Ni ushauri tu.
Ninapojibu ninajua ni nini ninajibu. Ninajua the skewed reporting against Jews. Niko well informed.
Hizo video NINAZIJUA na sikutaka kukuambia.
Kindly just cool your heels!!!!
 
Weh jamaa bhaana..... JF sio forum ya fools... stop fooling up around...

Unacopy na kupest kitu usichokielewa afu unashindwa kukisimamia....

Km mchezo basi ni dead play... usise eti mtu hajafa.. mara mlio wa ganda haujaskika.... mara damu haujaiona... we jamaa bhaana
 
Ninapojibu ninajua ni nini ninajibu. Ninajua the skewed reporting against Jews. Niko well informed.
Hizo video NINAZIJUA na sikutaka kukuambia.
Kindly just cool your heels!!!!
Kwa aina hii ya "kujibu" nikuaminia kwamba unajua ni nini unajibu. You are a chosen one.
 
Back
Top Bottom