mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Trump SAA hii keshakimbiza pua yake fasta! Hatorudia.Trump ameshafanya linalotakiwa kufanywa na taifa lenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi duniani.......
Wafanyabiashara wana mbinu nyingi sana za kukuza uchumi wao.Mataifa makubwa yapo kibiashara kupitia viongozi wao.Pia mafanikio ni siri sirini.TrumPutin Business.....[emoji87]
Hivi maharage uliyokula ni matamu eh???WWW3 ikitokea mwaka huu itakuws poa sana
Vita vya mrusi na marekani hawezi kupatikana mshindi! Wote wataangamia!tatizo Russia hana washirika wa kuaminika. ni ngumu kushinda vita peke yake. uwezo huo hana.
Thubutu!Waambie wamshambulie Mapanki...
Your ID says Mbingunikwetu.. Sasa unaogopa kwenda mbinguni??It's not something to be enjoyed unless you don't know its implications! The third world war is around the corner! No country will be exempted! The formula of any world is: "You are either with us or against us"
Neutrality is never accepted!
Hence every country becomes the target! Nothing to be enjoyed!
Trump anataka kuua ile nadharia kwamba yeye na Putin ni marafiki na Russia ndio wali rig US Elections.. Hakuna vita hapoHii issue ya watu wanaokutana faragha na kupanga mbinu za kuihadaa dunia kwa vita za kutengeneza sijui itaisha lini?Yaani Trump ma Puttin wanajifanya hawajuani kumbe lao moja.Only God Knows...
Sio wakati wa kujiharishia!Eh! Mungu inusuru dunia yetu na hili janga kubwa.
hahahaha Maalim utakohoa sana maana wakomunisti wako kumbe ilikuwa tishia nyau tuu, tomahawks zimepita zote na zikapiga zilipoelekezwa ,zile 400 vipi zilikuwa zimelala? Russia na hivyo vimeli vyake vitazamishwa in seconds akichezaKoh koh koh koh koh koh koh
Ahaa ahaa Africa huko hata balance diet hakuna kwa watu wao wababe wa vita waje kufanya nini. Kutupa chandarua au ARV kipindi cha vita? Africa tunajidanganyaga sana kuwa tunafikiriwa kumbe ni zaidi ya tissue when comes on international affairsUkiona baba na mama wanapigana fichama uvunguni zisije zile hasira zikahamia kwako Mungu tusaidie giant nation zikichafuka Africa hatuko salama
Hivyo vita havituhusu kabisa sisi masikini wa KUTUPWAAhaa ahaa Africa huko hata balance diet hakuna kwa watu wao wababe wa vita waje kufanya nini. Kutupa chandarua au ARV kipindi cha vita? Africa tunajidanganyaga sana kuwa tunafikiriwa kumbe ni zaidi ya tissue when comes on international affairs
Nini utasha cilia Mkuu? Kula? Unadhani utakwepa madhira ya vita hii? Acha utani.Acha wapigane huku tushangilie. Ila vita haitabiriki hii
Eti vikorea whaat,?? Labda huelewi unachoongea kuhusu hao macho kuvimba,. Labda hao tuachane nao kwanza shughuli yao ni inshu nyingiine kabiisa wala hata haifai kuwaongeleaNgoja ajilengeshe atwangwe vilivyo! Dunia nzima kwenye hili inamuunga mkono Trump ispokuwa Russia, labda na china na vile vikorea kask.
Kama Trump ni illuminati basi nafikiri Sizonje ni mzimuinatiBaada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta WW III.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.
Haya mambo ya illuminant na freemason ukiyazidisha sana akilini nayo ni shida kwa hiyo kila litakalofanyika utakimbilia huko huko... Itafikia hata mtu akijamba ni illuminant na freemason..Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta WW III.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.