Rupia: Hazina ya Mjerumani

Hazina za wajerumani walizoziacha hapa Tanganyika ni nyingi na laiti kama tungekuwa na mkataba wa ukweli baina ya nchi hizi mbili tungeweza kuwa na uchumi ambao unatingisha Duniani !
Mimi nimeshajishughulisha sana na hizi habari na wala sitaacha mpaka na mimi nizitie mikononi kwani kuna Mjerumani mmoja nimeshapanga naye dili akija tu nampeleka saiti kwangu maana viongozi wengi wa nchi hii wamefaidika sana na mambo haya !
Viongozi woote (Rais) kasoro Mwl Nyerere wamefaidika na game hii
Kuna jumla ya saiti 5,264 na hizi ni zile kubwa kubwa ! Nyingi zipo kwenye himaya ya Makanisa ( makanisa mengi sana hasa ya Roma yamekalia hazina hii ) juu ni bosheni tu, Nyumba za wakuu wa Wilaya na baadhi ya ngome za serikali ya wajerumani ya zamani na mkoa unaoongoza kwa kuhifadhi hazina hizi ( maghala )ni Pwani, Morogoro na Tanga
Mfano 1: Nyumba anayoishi Mzee Mkapa pale Lushoto chini yake imekalia hazina kubwa sana ya Kijerumani.Lushoto kuna tambulika kama Germany ndogo ndani ya Tanganyika maana huko ni kama wamezimwaga hasa mitaa ya Chuo cha Mahakama yaani chini ya chuo kile kupo wazi na mashelfu ya mizigo

2: Ukiwa kisarawe- Pwani kuna underground turnel mpaka Bandarini ambako gari hasa kama ukubwa wa Fuso linaweza kupita pasi na shaka yoyote na kuna alama nyingi sana kando kando ya Reli ya kati kutoka Stesheni mpaka Kisarawe na kuendelea

3:Mnada wa Gongo la mboto nako pale chini ni hazina kubwa sana na mlango ulipo napafahamu

4: Ukiwa pale Magogoni feri yaani Magereza kuna baadhi ya milango underground haifunguliwi maana ni njia ya kutokea Kisarawe

To be cont
 
Guys, hao Wajerumani wa Kempiski kama wapo kweli watakuwa tu na lengo la kuwatapeli Watanganyika kwasababu sio kila Rupia ina thamani sawa na ingine hapana. Kuna Rupia moja inaitwa Fufumaki alama zake ni kuwa ule upande wa kichwa cha mtu ni " Mzee mwenye Upara " hii moja tu ina uwezo wa kuwafanya watu zaidi ya 200 kuwa " Mabilionea " sasa haiwezekani mtu ainunue ati kwa Mil 200 hata Mil 500 si sawaa !
 
watanzania kweli nyie ni wadanganyika, yani mnaamini huu upuuzi. Hebu jiulize swali dogo tu. Rupia si walikuwa wanazitengeneza wajerumani? Sasa kama walikuwa wanazitengeneza wao iweje kipande kimoja cha rupia wakupe ela nyingi wakati wanaweza kukitengeneza pia.
Hizi ni story za paukwa pakawa hakuna cha rupia site sijui 5,252 wala nini. Kama wataka jitia umaskini na kuharibu muda wako ni mwisho wa siku kutapeliwa jikite kwenye hizi biashara za kutafta mali aliyoficha mjerumani.

Not every venture ends in climax."
fact known well to many women."
 
Hiyo ni DECI, natangaza nanunua rupee dsm wakati huo nina rupee mia zipo mororgoro na nikiwa na 480,000,000 dsm, rupee ya kwanza niliyouza morogoro nainunua kwa pesa hiyo then huyo mtu anarudi mororgoro na kunua nyingine 70 zilizobaki mathalani for 500 million na zilizobaki moro na kwingineko zinanunuliwa toka kwangu for 600 million, nakuwa nimepata wastani wa 500 million times 1oo rupee, then wakiwa safarini kuzileta dsm napotea unabaki na rupee zako mkononi pesa umeliwa.
 
Nashukuru kwa kuwaelewesha watu huo mchezo ulisha mfanya mzee flani mwanza akauza nyumba yake akidhan anaenda tengeneza faida kumbe kaanguka mikononi mwa matapeli
 
Huo ni mchezo wa kitapeli msiujaribu ht kidogo, hapa kasulu mwalmu mmoja mstafu jumla ametumia mafao yake yote mil65 kutafuta hizo rupia ila hakuzipata na sasa ameuza na nyumba. Kuweni makini
 
Nyie watu wa mbeya, hebu shusheni Stori zaidi kuhusu Bw Lena, huyu jamaa naona kawa mtanzania sasa!
 
Ukitaka ufilisike na ufe kibudu ingia kwenye game za rupia!!hutafika popote na utafilisika miezi 3 tu ya kwanza!!achana na fikra potofu
 
Mkuu Wiseboy, Hiyo issue ilikuwa wakati wa vita ya wajerumani na waingereza so wakati wajerumani wamepakia shehena yao ya kila aina ya madini na hazina nyingine nyingi meli ile ilipigwa kombora na kukwama kwa kuzamishwa na kombora lile na mpala leo ukitangaza kutaka kulima bonde lile Wajerumani wata bid kwa bei ya juu sana ili walime wao na wachukue hazina zile wao !

Haya mambo ni ya kweli lakini inafikia kuita ya Kitapeli kwasababu woote wanaingia kwa kazi hii bila ya kuwa na seminar elekezi kwanza kuzifahamu Sheria,Taratibu na Kanuni za utafutaji huu ! Mbona wapo waliokula bingo !

Mkuu wa mmoja wa majeshi mstaafu alipiga kazi moja mitaa ya Muheza na kuwa Bilione alinunua mpaka hisa kwenye shirika la ndege la Luthasa na kuanzisha Bank hapa nchini kama tawi na yeye kuwa ndio Mwenyekiti wake !
 
Kuna babu mmoja alinihadithia hapa kazini kwetu kwamba wao walienda huko Lushoto ndani ndani mapangoni kutafuta mali kama hizo mnazozisema. Yeye anadai hawakufanikiwa kuzipata sema waliishia kukutana na majoka makubwa makubwa tu huko ambayo yeye anadai ndio walinzi wa hizo mali na yeye anadai ameona kwa macho yako hayo majoka mapangoni yanalinda mzigo na alifika hadi kwenye mzigo wenyewe.

Problem anasema majoka makubwa yamezingira mzigo . Sijui ameniambia ukweli au amenivuta mguu :happy:
 
Mkuu Wiseboy, Hiyo issue ilikuwa wakati wa vita ya wajerumani na waingereza so wakati wajerumani wamepakia shehena yao ya kila aina ya madini na hazina nyingine nyingi meli ile ilipigwa kombora na kukwama kwa kuzamishwa na kombora lile na mpala leo ukitangaza kutaka kulima bonde lile Wajerumani wata bid kwa bei ya juu sana ili walime wao na wachukue hazina zile wao !

Haya mambo ni ya kweli lakini inafikia kuita ya Kitapeli kwasababu woote wanaingia kwa kazi hii bila ya kuwa na seminar elekezi kwanza kuzifahamu Sheria,Taratibu na Kanuni za utafutaji huu ! Mbona wapo waliokula bingo !

Mkuu wa mmoja wa majeshi mstaafu alipiga kazi moja mitaa ya Muheza na kuwa Bilione alinunua mpaka hisa kwenye shirika la ndege la Luthasa na kuanzisha Bank hapa nchini kama tawi na yeye kuwa ndio Mwenyekiti wake !

Anaitwa nani?
 
Hizi habari duu mpaka unachanganyikiwa.............hata kama ni kweli uwezekano wa kupata ni mdogo sana.........kuna uganga wa kijerumani unatakiwa
 
Mkuu Maundumula,Fanya tafiti mkuu gani wa majeshi mstaafu ni mwenyekiti wa Bank.

Ni kweli hao wazee walifika kwenye mzigo lakini tatizo ni kwamba hawakuwa na dawa maalumu za kujipaka ili wale walinzi ( majini )yasiwaone na katika mahala ambapo pia hao wajerumani walimwaga mizigo ni Lushoto tena hasa Chuo cha mahakama na maeneo ya kuzunguka eneo hilo kuna hazina za kutisha za kufanya nchi hii kuwa tajiri na hata wale vijana wasio na kazi kulipwa mshahara !

Unaweza kumuona anayedili na issue hizi kuwa Lofa lakini siku ukiona Mjerumani anafika kwenye moja ya stesheni za gari moshi na kupanga dili na walinzi na kuchimba kona moja ya ofisi urefu wa mita 1 tu na kuchukua kiboksi na kutokomea na mlinzi kuachiwa Bakshishi ya Laki 5 mpaka Millioni 1 ndio utajua Ulofa wetu na Ujanja wa Wazungu uko tofauti kiasi gani ?
 
hapana kitu cha maana ukisikia ndugu yako kawasiliana na watu hawa jua tayari wameshamliza ni kundi la matapeli epukana nalo kama ugonjwa wa ukoma
 
Hazina za wajerumani walizoziacha hapa Tanganyika ni nyingi na laiti kama tungekuwa na mkataba wa ukweli baina ya nchi hizi mbili tungeweza kuwa na uchumi ambao unatingisha Duniani !
Mimi nimeshajishughulisha sana na hizi habari na wala sitaacha mpaka na mimi nizitie mikononi kwani kuna Mjerumani mmoja nimeshapanga naye dili akija tu nampeleka saiti kwangu maana viongozi wengi wa nchi hii wamefaidika sana na mambo haya !
Viongozi woote (Rais) kasoro Mwl Nyerere wamefaidika na game hii
Kuna jumla ya saiti 5,264 na hizi ni zile kubwa kubwa ! Nyingi zipo kwenye himaya ya Makanisa ( makanisa mengi sana hasa ya Roma yamekalia hazina hii ) juu ni bosheni tu, Nyumba za wakuu wa Wilaya na baadhi ya ngome za serikali ya wajerumani ya zamani na mkoa unaoongoza kwa kuhifadhi hazina hizi ( maghala )ni Pwani, Morogoro na Tanga
Mfano 1: Nyumba anayoishi Mzee Mkapa pale Lushoto chini yake imekalia hazina kubwa sana ya Kijerumani.Lushoto kuna tambulika kama Germany ndogo ndani ya Tanganyika maana huko ni kama wamezimwaga hasa mitaa ya Chuo cha Mahakama yaani chini ya chuo kile kupo wazi na mashelfu ya mizigo

2: Ukiwa kisarawe- Pwani kuna underground turnel mpaka Bandarini ambako gari hasa kama ukubwa wa Fuso linaweza kupita pasi na shaka yoyote na kuna alama nyingi sana kando kando ya Reli ya kati kutoka Stesheni mpaka Kisarawe na kuendelea

3:Mnada wa Gongo la mboto nako pale chini ni hazina kubwa sana na mlango ulipo napafahamu

4: Ukiwa pale Magogoni feri yaani Magereza kuna baadhi ya milango underground haifunguliwi maana ni njia ya kutokea Kisarawe

To be cont

nimeshiba na hii theory mweeee.....nchi ya kufikirika hii. Ipo siku mtasema kuna anderground road kutoka dar mpaka pemba
 
Hiyo ni DECI, natangaza nanunua rupee dsm wakati huo nina rupee mia zipo mororgoro na nikiwa na 480,000,000 dsm, rupee ya kwanza niliyouza morogoro nainunua kwa pesa hiyo then huyo mtu anarudi mororgoro na kunua nyingine 70 zilizobaki mathalani for 500 million na zilizobaki moro na kwingineko zinanunuliwa toka kwangu for 600 million, nakuwa nimepata wastani wa 500 million times 1oo rupee, then wakiwa safarini kuzileta dsm napotea unabaki na rupee zako mkononi pesa umeliwa.
Nakubaliana na wewe 100%. Kesho nikipata nafasi nitakuja na yaliyonikuta mimi mwenyewe katika harakati za rupia. Kwa sasa nawaasa msijiingize katioka shughuli hiyo.
 
nimeshiba na hii theory mweeee.....nchi ya kufikirika hii. Ipo siku mtasema kuna anderground road kutoka dar mpaka pemba

Jaribuni kubadiri fikra zenu, kwani kuna nini ambacho mjerumani kakiacha tanzania mpaka ashinde kukifuata?, nini anashindwa kufanya na hawa viongozi wetu wanaojijari wenyewe, tumieni ndoto za usiku muache zile za mchana. Napita tuu....
 
Back
Top Bottom