Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Hahahhaa mleta mada umegusa penyewe.... Tukuyu ni the best place to be, umesahau kuwaambia kuwa kitimoto huku sasa hivi kilo ni 7000 yaani nusu ni 3500 tena iliyopikwa kwa ustadi wa hali ya juu. Bila kusahau huku tunavuta bangi safi inayolimwa tukuyu mixa na ya malawi yani huku ni kama kingston jamaica ukisha Puff some weed unachil zako kwenye kamwinuko flani so amazing unacheki uumbaji wa Mungu yani full of green environment unataka nini tena? Welcome to Tukuyu where players play, full of green and natural fuud everidei
 
Shukran sana ,,
Ktimoto ya tukuyu ni babkubwa japokuwa kuna machaka inauzwa kwa vipande tu ... yaan unakula mpaka inakinai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mzuri wa pesa
hapa tanzania.

Tuangalie sifa zake :

-Rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk

-Kiukweli Rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.

-Watu wake ni wakarimu sana ila hawapend dharau.
-Hali ya hewa ni nzuri muda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.

-Rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo

-Usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.

-Huduma za afya zipo za kutosha

-Ukiwa mtumishi wa umma unaweza ukajisahau hata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa Kiwira nyumba nzima elfu 70 kwa mwezi.

-Nauli mpaka Mbeya mjini ni buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjini zinapaa mwendokasi.

-Wadada wa hapo ni kitonga sana hawaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasababu ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabidi uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.

-Ni vizuri uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-Watumishi wa Serikali mfano walimu walioanza kazi kule hawatakagi kuhama hiyo ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na elfu kumi ukiingia sokoni unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-Ni sehemu ambayo watu wake jioni wanapiga pamba kali lakini asubuhi unawakuta mashambani wanachezea udongo.
-Watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-Watu wake wanapenda sana dini, elimu na kilimo.
-Kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-Kama umeolewa halafu umehamia Rungwe unashinda ndani tu hujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-Watu wake wamechangamka muda wote

Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa kinyume na wewe kwenye baadhi ya vipengele!! Tukuyu nimeishi miaka 6,, Nina uzoefu wa mazingira ya Tukuyu kaka,, Hali ya hewa Tukuyu ni nzuri Sana Kama ulivyosema!! Matunda ni mengi,,ndizi maparachichi n.k but kwa chakula Kama mahindi Kilimo kule ni Kigumu maana ardhi ya Tukuyu ni mabonde mabonde Sasa mpaka upate eneo mfano heka moja ya tambalare la kulima mahindi ni ngumu Sana.
Pia maeneo ya Tukuyu ni ghali Sana maana maeneo yaliyomengi ni ya Kiukoo kwahio kuuziwa eneo ni gharama Sana believe me.
Ujenzi wa Tukuyu ni ghali Sana kwa sababu zifuatazo;
Tofari hufyatuliwa sehem moja tu kule mbele ya Lutengano kwahio gharama ya usafirishaji ni kubwa na ndio maana watu wa kule hujenga nyumba kwa kusimamisha tofari.
Mchanga huwa unatoka Kiwira ikiwa pamoja na kokoto,,,kwahio ujenzi wake lazima ujipange. Hayo ndo mawazo yangu

Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo kama hulijui kiuhalisia kukaa kimya ni jambo jema pia.
Kaka sio kesi, hamna anayesema kijijini kwenye hamna rutuba, ni suala tu la kutumia akili utaelewa kinazungumzwa nini. Mdau kasema, ukiwa na 10,000 ukaenda sokoni unarudi na kiroba cha mazagazaga. Hiyo ni indication kuwa thamani ya mazao ya shambani iko chini, kwa hiyo mkulima wa mdogo wa Tukuyu financially hawezi kuwa fit. Sasa sijaona sababu ya kutokwa misuli ya koo kutetea kijiji.

Tarehe 28 nilikuwa Tukuyu. Tumepita pale Kiwira wamama wanalia na mabeseni ya maparachichi kila mmoja analia akuuzie angalau ya 500. Ukianza kuilinganisha Tukuyu na Dar nakuona mwehu sababu wamama wa Dar watakwambia parachichi moja ni 800 na kama hutaki SEPA kwa kuwa wana uhakika wa kuyauza.

Kwa kifupi Tukuyu imebarikiwa ardhi. Mgomba ni mgomba kweli na ndizi imesimama hasa, lakini ni neema ya chakula. Alfajiri utaona wamama wakienda shambani, sijui WANAUME wa Tukuyu walikufa wote au ni vipi SIJUI. Sioni wanaume mashambani.

Kuhusu Tukuyu kuwa na wafanyabiashara na wasomi hiyo nayo ni ligi ya kijinga. Hamna mkoa ulioshindwa kuregister wasomi wawili watatu na wafanyabiashara hapa Dar. Hata watu wa Dodoma tu wana wasomi wao. Nenda pale stendi ya mkoa Ubungo ukahesabu watu wangapi wa Tukuyu wapo Dar wakiuza Power Bank za Kichina kwenye mabasi, wauza Flash Disk, Boda boda na pia tembelea soko la Njegere pale Kigogo uone ndugu zako wanavyoshindana na Waluguru, wao na karoti, Waluguru na Njegere halafu uje utetee kijiji

Ila ujumbe wangu kwa watu wa Tukuyu, wanaume acheni umwinyi. Amkeni na wamama asubuhi kwenda shambani. Sio picha nzuri kukutana wa wamama kwenye ukungu huku vidume vimejifungia ndani vinasubiri kupambazuke vikanywe komoni na makoti yao kama tai

View attachment 1439418

Ni kwamba kila sehem kuna unafuu wake katika ujenzi mfano maeneo ya tukuyu swala la kujenga msing na kench na milango ni very cheap sana.

1, kwanza msingi wa nyumba wanatumia mawe na kule yanapatkana kwa wing sana
2,pili milango na madirisha mbao kule zipo za kutosha ni ww tu unataka kitu cha aina gani utengenezewe
3,mchanga huo wa kiwira sio gharama sana kadilia tu uwe na ef 60 au laki
4,kench mabao kibao kule labda unaweza jengea ata minunda kupunguza gharama zaid.
5,hapo kweny miinuuko uko sahihi lakn bei ya viwanja ni kawaida sana.

inshot vjj vya kule weng wamejenga na kuuzeka kwa bati. Tofaut na vijiji vngne vya tanzania hali n ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sembe la morogoro na sembe la iringa ni mbingu na ardhi..la Iringa zuri linaste poa mdomon..la moro kama limepoa..same na sembe ya songea na iringa zinapishana..songea nzuri zaidi...nadhan na ph za udongo
Ila ukija upande wa ndizi ni tofauti kabisa...ndizi kutoka mbeya na Arusha tofauti na ndizi kutoka moro,
Ndizi za moro ni tamu afu hazibonyei Kama sponji but ndz kutoka mbeya na Arusha hazina radha kabsa afu zinabonyea....
Ukija upande wa mchele ndo usiseme kabsa moro mchele wao unaradha mdomoni.
 
Kweli tumetofautina..are you serious mchele wa moro mtamu kuliko wa mbeya mkuu?😄😄😄! Ndizi ya moro nayoipenda ni mtwike tu..wee..ndizi za mbeya ni tamu sana zina ladha mno! Hata kisukari cha Mbeya na Moro tofauti..cha Mbeya kina unga unga mtamuuu..moro cha baridi fulan mdomoni...kama kuna mchele ambao hauna ladha hapa Tz ni wa Moro...mchele mtamu no 1!
Kahama
2.Mbeya
 
Jambo kama hulijui kiuhalisia kukaa kimya ni jambo jema pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ungeusema huo uhalisia na wengine tujifunze? Hizi sentensi moja moja ni maneno ya kwenye khanga. Kama kwenu ni Kiwira bila shaka mama zenu na dada zako hawajaanza leo kuuza maparachichi kwenye mabeseni kwa mtindo wa machozi. Na kama wewe ni mmoja au mzazi wako ni mmoja wa wale walala ndani huku wamama wanaenda shambani...acha tabia mbaya
 
Ila ukija upande wa ndizi ni tofauti kabisa...ndizi kutoka mbeya na Arusha tofauti na ndizi kutoka moro,
Ndizi za moro ni tamu afu hazibonyei Kama sponji but ndz kutoka mbeya na Arusha hazina radha kabsa afu zinabonyea....
Ukija upande wa mchele ndo usiseme kabsa moro mchele wao unaradha mdomoni.
Ndizi ziko Mbeya, Morogoro kuna ubishi na samaki pori wa chumvi nyingi wanaitwa nguruka 😀 😀

Usishindane na Mbeya when it comes to chakula. Jamaa wamebarikiwa ardhi yenye rutuba.
 
Sio tukuyu tu mbeya nzima kwa ujumla nisehemu ambayo ina unafuu wa maisha Tanzania the green city imebarikiwa sana ni ukweli watumishi hawataki hata kuusikia uhamisho kuondolewa mkoa huu, ni mji ambao kina mama hawanakabisa muda wa umbea wapo bize na biashara hawategemei wanaume kujikimu ukizingua anakuzingua.

Raha sana jamani...mbeya kuna wanawake kama mamen...!rip Mama biteko!
 
Kaka sio kesi, hamna anayesema kijijini kwenye hamna rutuba, ni suala tu la kutumia akili utaelewa kinazungumzwa nini. Mdau kasema, ukiwa na 10,000 ukaenda sokoni unarudi na kiroba cha mazagazaga. Hiyo ni indication kuwa thamani ya mazao ya shambani iko chini, kwa hiyo mkulima wa mdogo wa Tukuyu financially hawezi kuwa fit. Sasa sijaona sababu ya kutokwa misuli ya koo kutetea kijiji.

Tarehe 28 nilikuwa Tukuyu. Tumepita pale Kiwira wamama wanalia na mabeseni ya maparachichi kila mmoja analia akuuzie angalau ya 500. Ukianza kuilinganisha Tukuyu na Dar nakuona mwehu sababu wamama wa Dar watakwambia parachichi moja ni 800 na kama hutaki SEPA kwa kuwa wana uhakika wa kuyauza.

Kwa kifupi Tukuyu imebarikiwa ardhi. Mgomba ni mgomba kweli na ndizi imesimama hasa, lakini ni neema ya chakula. Alfajiri utaona wamama wakienda shambani, sijui WANAUME wa Tukuyu walikufa wote au ni vipi SIJUI. Sioni wanaume mashambani.

Kuhusu Tukuyu kuwa na wafanyabiashara na wasomi hiyo nayo ni ligi ya kijinga. Hamna mkoa ulioshindwa kuregister wasomi wawili watatu na wafanyabiashara hapa Dar. Hata watu wa Dodoma tu wana wasomi wao. Nenda pale stendi ya mkoa Ubungo ukahesabu watu wangapi wa Tukuyu wapo Dar wakiuza Power Bank za Kichina kwenye mabasi, wauza Flash Disk, Boda boda na pia tembelea soko la Njegere pale Kigogo uone ndugu zako wanavyoshindana na Waluguru, wao na karoti, Waluguru na Njegere halafu uje utetee kijiji

Ila ujumbe wangu kwa watu wa Tukuyu, wanaume acheni umwinyi. Amkeni na wamama asubuhi kwenda shambani. Sio picha nzuri kukutana wa wamama kwenye ukungu huku vidume vimejifungia ndani vinasubiri kupambazuke vikanywe komoni na makoti yao kama tai

View attachment 1439418
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom