Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Watu wa Tukuyu wamejazana hapa Dar, wamekuja kuendesha boda boda.

Eneo lolote la machakani hapa Tanzania utalipa maksi kama una kipato cha ajira. Kama unategemea ukaishi kama wanavyoishi, basi maisha sio mepesi huko. Kama ukiwa na kumi unarudi na full mazagazaga from sokoni ni wazi kuwa mkulima wa huko hali mbaya
Ardh yake inarutuba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna sku nmeenda mbeya kufatilia mambo flan hv.....kudadeq kuna upepo flan hv umeambatana na vumbi ulipig kama sku 3 hv nkaenda moja kwa moja stand kukata tket ya kesho yake...kwanza mbeya kuna baridi asee jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
Au wewe ndiyo walewale na maji ya kusafishia meno (mdomo) kwa mswaki mnayapasha moto kisa ya baridi?
 
Watu wa Tukuyu wamejazana hapa Dar, wamekuja kuendesha boda boda.

Eneo lolote la machakani hapa Tanzania utalipa maksi kama una kipato cha ajira. Kama unategemea ukaishi kama wanavyoishi, basi maisha sio mepesi huko. Kama ukiwa na kumi unarudi na full mazagazaga from sokoni ni wazi kuwa mkulima wa huko hali mbaya

Hali hiyo ipo kila mahala ila kwenye suala la chakula cha kutosha huko Tukuyu hakuna wezi au vibaka wengi waliopo ni wachache sana.
 
Watu wa Tukuyu wamejazana hapa Dar, wamekuja kuendesha boda boda.

Eneo lolote la machakani hapa Tanzania utalipa maksi kama una kipato cha ajira. Kama unategemea ukaishi kama wanavyoishi, basi maisha sio mepesi huko. Kama ukiwa na kumi unarudi na full mazagazaga from sokoni ni wazi kuwa mkulima wa huko hali mbaya
Sio kwel watu wa tukyu inshot ambao wapo dar weng wao n wafanyabishara na wasomi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] Mchele wa mkandamizaji ama.?? Corona iishe tukapatembelee my dear.
Zipo tu...ramani ni korido na vyumba madirisha madogo[emoji28]! ..mie napapendea mchele, harage zurii na matakapela[emoji28]! Basi
 
nataka nizame tukuyu niachie funguo nikaendelee kukutunzia

Sent using Jamii Forums mobile app

Tena masuala ya COVID -19 safari hii yamenikutia mji wa Talinn.

Lakini traffic ya calls imekuwa kubwa zaidi kwenda Tukuyu.

Hii nyumba nimetoka nayo mbali sana aisee niliijenga uzuri sana.

Usiniwekee hofu zaidi mkuu tafadhali 🙂🙂
 
Hao wadada/wamama wanapenda shughuli we acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mikoa fulani vijana wanashindana kunyoa viduku na kukimbiza vibodaboda vya matajiri ova wanapeleka damu ICU..
Wadada /wamama kazi yetu kuvaa madera ndan hakuna kitu...!hehee...!huku ukionekana unajituma tuma utanuniwa na hata unaweza wasipokee salamu yako[emoji1][emoji1]! NAOTA TU MIE
 
Eneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mzuri wa pesa
hapa tanzania.

Tuangalie sifa zake :

-Rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk

-Kiukweli Rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.

-Watu wake ni wakarimu sana ila hawapend dharau.
-Hali ya hewa ni nzuri muda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.

-Rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo

-Usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.

-Huduma za afya zipo za kutosha

-Ukiwa mtumishi wa umma unaweza ukajisahau hata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa Kiwira nyumba nzima elfu 70 kwa mwezi.

-Nauli mpaka Mbeya mjini ni buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjini zinapaa mwendokasi.

-Wadada wa hapo ni kitonga sana hawaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasababu ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabidi uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.

-Ni vizuri uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-Watumishi wa Serikali mfano walimu walioanza kazi kule hawatakagi kuhama hiyo ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na elfu kumi ukiingia sokoni unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-Ni sehemu ambayo watu wake jioni wanapiga pamba kali lakini asubuhi unawakuta mashambani wanachezea udongo.
-Watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-Watu wake wanapenda sana dini, elimu na kilimo.
-Kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-Kama umeolewa halafu umehamia Rungwe unashinda ndani tu hujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-Watu wake wamechangamka muda wote

Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wilaya ya Mbozi iko poa kimaisha kwa mtumishi kusave, ukiwa mtumishi Jenga kabisa huko
 
Tena masuala ya COVID -19 safari hii yamenikutia mji wa Talinn.

Lakini traffic ya calls imekuwa kubwa zaidi kwenda Tukuyu.

Hii nyumba nimetoka nayo mbali sana aisee niliijenga uzuri sana.

Usiniwekee hofu zaidi mkuu tafadhali 🙂🙂
sio hofu mzee mm nataka niachane na makonda kdogo maana kila sku tamko jipya,,,mara oooh mwanamke ukipigwa na mme wako call me on 0658900... aaaagh sa mambo gan hzo yaan mshkaji anatupangia namna ya kuish na familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom