Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Eneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mzuri wa pesa
hapa tanzania.

Tuangalie sifa zake :

-Rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk

-Kiukweli Rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.

-Watu wake ni wakarimu sana ila hawapend dharau.
-Hali ya hewa ni nzuri muda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.

-Rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo

-Usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.

-Huduma za afya zipo za kutosha

-Ukiwa mtumishi wa umma unaweza ukajisahau hata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa Kiwira nyumba nzima elfu 70 kwa mwezi.

-Nauli mpaka Mbeya mjini ni buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjini zinapaa mwendokasi.

-Wadada wa hapo ni kitonga sana hawaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasababu ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabidi uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.

-Ni vizuri uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-Watumishi wa Serikali mfano walimu walioanza kazi kule hawatakagi kuhama hiyo ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na elfu kumi ukiingia sokoni unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-Ni sehemu ambayo watu wake jioni wanapiga pamba kali lakini asubuhi unawakuta mashambani wanachezea udongo.
-Watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-Watu wake wanapenda sana dini, elimu na kilimo.
-Kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-Kama umeolewa halafu umehamia Rungwe unashinda ndani tu hujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-Watu wake wamechangamka muda wote


Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.






Sent using Jamii Forums mobile app
Picha?
 
Tukuyu ni makao makuu yawilaya ya rungwe ...(ofis za nida uhamiaj sijui mabank makubwa nmb na crdb unapata hapo ni kama wilaya ya ubungo saiv ofisi zao zpo kibamba.

Kiwira ni mji mdogo ambao n moja kati ya kata za wilaya ya rungwe ...
-hapo ni kitovu cha soko la mazao rungwe nzima. Na kuna maduka kadhaa ya tv redio nguo kiasi kdogo pia .... ila tu ni kwamba kiwira inakua kwa kasi sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
sawasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kutoka vijiji vya Tukuyu nilishangaa baada ya kuona vijiji mikoa mingine.....Tukuyu kwenye vivjiji vyote watu wamejitahidi kujenga nyumba za matofari ya kuchoma na kupiga bati......
SAFI SANA
 
Achaga ubinafsi ndo maana wilaya haiendelei sababu ya kuwa na watu wenye mawazo finyu kama yako wageni wakija kwa wingi ndipo huwa tunapata maendeleo
Na mfumo wa maisha hubadirika jamani wageni karibu Tukuyu kupo kama Europe
mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela

vp kuna biashara gan huko mtu mgeni anaweza fanya tofaut na kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela mzunguko wa hela

vp kuna biashara gan huko mtu mgeni anaweza fanya tofaut na kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kuna demand kubwa sana ya vtu vya sherehe mfano magauni ya harus vtambaa vya nguo suti na maduka ya nguo kwa ujumla aswa masweta makoti nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom