Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,036
Niliwah kwenda Mpanda, nilikua nadhan ninajua n nn maana ya umasikini , siku nimefika huko , ndio nilijua n nn maana halisi ya umasikini , na mm kwa mara ya kwanza nikajiona tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu jimbo la supika..aibu hii jamani
Sent using Jamii Forums mobile app