Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

intanent n 4g mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwel watu wa tukyu inshot ambao wapo dar weng wao n wafanyabishara na wasomi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ardh yake inarutuba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka sio kesi, hamna anayesema kijijini kwenye hamna rutuba, ni suala tu la kutumia akili utaelewa kinazungumzwa nini. Mdau kasema, ukiwa na 10,000 ukaenda sokoni unarudi na kiroba cha mazagazaga. Hiyo ni indication kuwa thamani ya mazao ya shambani iko chini, kwa hiyo mkulima wa mdogo wa Tukuyu financially hawezi kuwa fit. Sasa sijaona sababu ya kutokwa misuli ya koo kutetea kijiji.

Tarehe 28 nilikuwa Tukuyu. Tumepita pale Kiwira wamama wanalia na mabeseni ya maparachichi kila mmoja analia akuuzie angalau ya 500. Ukianza kuilinganisha Tukuyu na Dar nakuona mwehu sababu wamama wa Dar watakwambia parachichi moja ni 800 na kama hutaki SEPA kwa kuwa wana uhakika wa kuyauza.

Kwa kifupi Tukuyu imebarikiwa ardhi. Mgomba ni mgomba kweli na ndizi imesimama hasa, lakini ni neema ya chakula. Alfajiri utaona wamama wakienda shambani, sijui WANAUME wa Tukuyu walikufa wote au ni vipi SIJUI. Sioni wanaume mashambani.

Kuhusu Tukuyu kuwa na wafanyabiashara na wasomi hiyo nayo ni ligi ya kijinga. Hamna mkoa ulioshindwa kuregister wasomi wawili watatu na wafanyabiashara hapa Dar. Hata watu wa Dodoma tu wana wasomi wao. Nenda pale stendi ya mkoa Ubungo ukahesabu watu wangapi wa Tukuyu wapo Dar wakiuza Power Bank za Kichina kwenye mabasi, wauza Flash Disk, Boda boda na pia tembelea soko la Njegere pale Kigogo uone ndugu zako wanavyoshindana na Waluguru, wao na karoti, Waluguru na Njegere halafu uje utetee kijiji

Ila ujumbe wangu kwa watu wa Tukuyu, wanaume acheni umwinyi. Amkeni na wamama asubuhi kwenda shambani. Sio picha nzuri kukutana wa wamama kwenye ukungu huku vidume vimejifungia ndani vinasubiri kupambazuke vikanywe komoni na makoti yao kama tai

1588578221834.png
 
sawa sawa bas huko n gharama naskia kuna maeneo hapo mbeya wanauza debe 4500

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini mbalizi, Mbeya, mahindi nmenunua jana ni 5000 kwa debe,
IKUTI mbeya mjini, mahindi ni tsh 6000,
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya mahindi ya Rungwe na sehemu nyingine ya mkoa wa Mbeya na SONGWE, walaji wa ugali tunajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wilaya ya Mbozi iko poa kimaisha kwa mtumishi kusave, ukiwa mtumishi Jenga kabisa huko
Mbozi ndio mfuniko kwa wenye uchu wa kutaka kutoka kimaisha, kule sasa ndio blessed land.
Mkuu umewahi kula parachichi la Mbozi??
Nunua parachichi vwawa afu kanunue parachichi la kiwira tandale hakika utakubaliana na mimi kuwa Mbeya bila SONGWE ni sawa na Gari bila tairi lakn ni kwa masuala ya kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukuyu ckukupenda Ila kiwira aiseee pale pako vizuri sana nilikuwa nakaa KK pale chimbo langu Kwa uncle fide kamji kadogo ivi kitamu sans maisha rahisi

Lkn io yote n rungwe ila kiukweli kiwira pana masoko makubwa mawili moja la ndiz na lingne la mazao(tandale ... malori yanajaaga pale kupakia mizigo kuleta dar. Na mikoa mingne tukuy n kama sehem ya ofis za serikali lakn pia soko lipo na maisha n mazur tu rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka sio kesi, hamna anayesema kijijini kwenye hamna rutuba, ni suala tu la kutumia akili utaelewa kinazungumzwa nini. Mdau kasema, ukiwa na 10,000 ukaenda sokoni unarudi na kiroba cha mazagazaga. Hiyo ni indication kuwa thamani ya mazao ya shambani iko chini, kwa hiyo mkulima wa mdogo wa Tukuyu financially hawezi kuwa fit. Sasa sijaona sababu ya kutokwa misuli ya koo kutetea kijiji.

Tarehe 28 nilikuwa Tukuyu. Tumepita pale Kiwira wamama wanalia na mabeseni ya maparachichi kila mmoja analia akuuzie angalau ya 500. Ukianza kuilinganisha Tukuyu na Dar nakuona mwehu sababu wamama wa Dar watakwambia parachichi moja ni 800 na kama hutaki SEPA kwa kuwa wana uhakika wa kuyauza.

Kwa kifupi Tukuyu imebarikiwa ardhi. Mgomba ni mgomba kweli na ndizi imesimama hasa, lakini ni neema ya chakula. Alfajiri utaona wamama wakienda shambani, sijui WANAUME wa Tukuyu walikufa wote au ni vipi SIJUI. Sioni wanaume mashambani.

Kuhusu Tukuyu kuwa na wafanyabiashara na wasomi hiyo nayo ni ligi ya kijinga. Hamna mkoa ulioshindwa kuregister wasomi wawili watatu na wafanyabiashara hapa Dar. Hata watu wa Dodoma tu wana wasomi wao. Nenda pale stendi ya mkoa Ubungo ukahesabu watu wangapi wa Tukuyu wapo Dar wakiuza Power Bank za Kichina kwenye mabasi, wauza Flash Disk, Boda boda na pia tembelea soko la Njegere pale Kigogo uone ndugu zako wanavyoshindana na Waluguru, wao na karoti, Waluguru na Njegere halafu uje utetee kijiji

Ila ujumbe wangu kwa watu wa Tukuyu, wanaume acheni umwinyi. Amkeni na wamama asubuhi kwenda shambani. Sio picha nzuri kukutana wa wamama kwenye ukungu huku vidume vimejifungia ndani vinasubiri kupambazuke vikanywe komoni na makoti yao kama tai

View attachment 1439418
Wanawake wa tukuyu wapo tofaut na wanawake wa mikoa mingne icho kinafanya wanaume wachache wa tukuy waonekane tegemezi kitu ambacho sio kweli asili ya wanaume wa rungwe tukuyu ni wenye kutafuta sana na wapole nyumban lakn wababe wakitoka nje ya nyumba zao. ...

Ukisema mamwinyi hapo nakupinga wale watu wanajua kutafuta fursa ... kwa mfano mtoto wa kiume akifikisha tu miaka 18 anazunguka nyumba ya nyumba yao anafyatua tofali anajenga geto wao kujenga geto n sehem ya hatua na kulima vibarua n kama mchezo kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thamani ya mazao yao inakua chin pale wakulima weng wanapolima sana ilo zao kwa mfano nyanya karb muongo mmoja sasa eneo ilo watu wanalima sana nyanya kias kwamba unaweza ingia market ukanunua nyanya 10 kwa jero. Ila ata kama wasipolima bado bei yake inakua nzur na si kwamba wanapata hasara bado wanakua na uwezo wa kusomesha watoto wao shule za private za mbeya mjin bila shida yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Ni sehemu ambayo watu wake jioni wanapiga pamba kali lakini asubuhi unawakuta mashambani wanachezea udongo.
 
Back
Top Bottom