Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Mikoa fulani vijana wanashindana kunyoa viduku na kukimbiza vibodaboda vya matajiri ova wanapeleka damu ICU..
Wadada /wamama kazi yetu kuvaa madera ndan hakuna kitu...!hehee...!huku ukionekana unajituma tuma utanuniwa na hata unaweza wasipokee salamu yako[emoji1][emoji1]! NAOTA TU MIE

Niliwahi Ishi eneo linaitwa Ndungu wilaya ya same kwa muda wa Miezi mitatu kwa shughuli zangu ukweli uliousema ulinitokea. Mwanamke anayejishughulisha wanamuona anajidai. Kwao mwanamke aj uchubue, adange, awe mnywaji pombe na kujipodoa. Mengine ya kujituma ni maringo. Hii nchi Ina matatizo mengi sana ambayo yanachangia umasikini na maradhi.
 
😆😆😆😆! Asili yao hiyo tabia ni Morogoro!.. Mie nnaishi kwenye jamii hyo sasa! Mchana anakunanga hatari usiku anakupgia simu wangari nnashida na ww..umkopeshe hela😆😆😆😆😆! Bas unampa kwa makusudi!...basi akae na ww ajue unamishe gani amebaki kuropoka..mhh naskia migodini kuna ukimwi..unamjibu Eh sana sana ukimwi umetamalaki sana!lakini huyo huyo anakuambia nisaidie laki mama fulani nna shidaaa🤣🤣🤣!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Asili yao hiyo tabia ni Morogoro!.. Mie nnaishi kwenye jamii hyo sasa! Mchana anakunanga hatari usiku anakupgia simu wangari nnashida na ww..umkopeshe hela[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Bas unampa kwa makusudi!...basi akae na ww ajue unamishe gani amebaki kuropoka..mhh naskia migodini kuna ukimwi..unamjibu Eh sana sana ukimwi umetamalaki sana!lakini huyo huyo anakuambia nisaidie laki mama fulani nna shidaaa🤣🤣🤣!

Nna wakwe zangu hukoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabinafsiiiii
Wanajua kila kitu
Wao hawana bajeti wao ni kipate ukitumie kesho itajijua yenyewe
Kaka zao wanapewa majukumu ya kulea hadi wajukuu wa dada zao
Wanatoa kasoro kila kitu
Kulia shida Ndio usiseme
 
😆😆😆😆shoga nakupa pole...hivi kuna kabila wanazalia home kama watuwa huku pwani? Uwiii..mtasomesha had mchoke na mitoto yenyewe inafeli tu!..lol
 
Baada ya kutoka vijiji vya Tukuyu nilishangaa baada ya kuona vijiji mikoa mingine.....Tukuyu kwenye vivjiji vyote watu wamejitahidi kujenga nyumba za matofari ya kuchoma na kupiga bati......
SAFI SANA
Nenda Moshi marangu huko, Nyumba unaziona ziona hapa mjini (Dsm) mtu akijenga anasema nina nyumba haswa, utazikuta kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namaanisha vijijini same good standard of living... huko marangu ni tofauti maana unakuta Kuna mmoja kajenga nyumba nzuri may be coz anafanya biashara Mwanza but majority ni choka mbaya....nazumgumzia vijijini vya tukuyu ambko karibia raia wote wananyumba nzuri za tofari za kuchoma bati na kusakafia kwa cement
 
Same applies na Iringa! Sakafu tofali za kuchoma na umem juaa
 
Namaanisha vijijini same good standard of living... huko marangu ni tofauti maana unakuta Kuna mmoja kajenga nyumba nzuri may be coz anafanya biashara Mwanza but majority ni choka mbaya....nazumgumzia vijijini vya tukuyu ambko karibia raia wote wananyumba nzuri za tofari za kuchoma bati na kusakafia kwa cement
Hujawah fika huko , hakunaga choka mbaya kule.. naweza sema watu wanai ishi mule over 80% wako mijini , wanaenda December kwa December tu .. kule hadi nyumba ya mwsho inayopakana na bikon za msitu wa mlima Kilimanjaro ina umeme na maji, (Sio wa REA) kule walisha endelea kabla ya hii kitu inaitwa Rea kuja

Kule ziko ghorofa , kukuta kwa mtu mmoja nyumba tatu , mbili za maana n kawaida sana , wanatumia mchanga na cement au tofaut za kuchonga kwenye miamba, hamnaga tofali za kuchoma mule , nyumba utakayo ikuta madale , ni hiyo hiyo iko kule hadi materials

Sawa mkuu.....
Ila ukienda kongwa utashangaa maisha yako yote mpaka 😛😛😛😛
 
Huko si ndio nyumbani kwa spika Ndugai!!! Ndio maana mchungu!!!
ccm hawajawahi kua na huruma na watz....tazama majimbo yote yaliyotawaliwa na ccm ni choka mbaya aibuu....
 
Back
Top Bottom