Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Ila tuwe wakweli mbeya inakosa wanawake warembo Kama Dar na Arusha, Tanzania nzima nimesalute kwa mikoa hiyo miwili ina totozi wazuri sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Ah mie siko kwa uzuri...mie niko upande wa hustling zao.. ..nawapenda hawayumbwishi kijinga jinga !kuna mikoa ina laana jamani!..umkute mwanamke anajitumikisha ile kisawasawa mhh!...muda wote ananukia rovilee tu
 
Umenifanya nitamani kuhamia huko kamanda wangu...unajuwa sisi watanzania hususan vijana wetu wanapenda mno maisha ya mijini mfano dar, mwanza...wakati fursa za kupiga hela zipo vijijini. Vijana acheni ujinga nendeni vijijini mkapige hela, mijini waachieni wakina mama lishe....
 
Eneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mzuri wa pesa
hapa tanzania.

Tuangalie sifa zake :

-Rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk

-Kiukweli Rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.

-Watu wake ni wakarimu sana ila hawapend dharau.
-Hali ya hewa ni nzuri muda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.

-Rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo

-Usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.

-Huduma za afya zipo za kutosha

-Ukiwa mtumishi wa umma unaweza ukajisahau hata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa Kiwira nyumba nzima elfu 70 kwa mwezi.

-Nauli mpaka Mbeya mjini ni buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjini zinapaa mwendokasi.

-Wadada wa hapo ni kitonga sana hawaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasababu ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabidi uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.

-Ni vizuri uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-Watumishi wa Serikali mfano walimu walioanza kazi kule hawatakagi kuhama hiyo ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na elfu kumi ukiingia sokoni unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-Ni sehemu ambayo watu wake jioni wanapiga pamba kali lakini asubuhi unawakuta mashambani wanachezea udongo.
-Watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-Watu wake wanapenda sana dini, elimu na kilimo.
-Kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-Kama umeolewa halafu umehamia Rungwe unashinda ndani tu hujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-Watu wake wamechangamka muda wote

Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ni ugeni tu, Rungwe unaweza ukafanya biashara ya kununua sukari Malawi na kuiuza Tanzania, unakwenda Malawi asubuhi na inarudi mchana, ni sawa na kwenda Mbeya.
 
Kweli tumetofautina..are you serious mchele wa moro mtamu kuliko wa mbeya mkuu?😄😄😄! Ndizi ya moro nayoipenda ni mtwike tu..wee..ndizi za mbeya ni tamu sana zina ladha mno! Hata kisukari cha Mbeya na Moro tofauti..cha Mbeya kina unga unga mtamuuu..moro cha baridi fulan mdomoni...kama kuna mchele ambao hauna ladha hapa Tz ni wa Moro...mchele mtamu no 1!
Kahama
2.Mbeya
Yaah Mtwike na mzuzu ndo namaanisha mkuu na ninaposema moro namaansha ndzi na mchele wa kutoka uku kilombero ifakara adi mlimba,sema bidhaa zake hazpo marketable sana japo zna high quality kutokana na uzalishaji upo kidogo kulinganisha na mbeya sijajua kahama.

Naongea hvyo Nina experience sana na hzo products,ukitaka kuamini nenda pale tazara waulize wale wanaotumia usafir wa trein dar to mbeya au Zambia au mbeya to dar huwa wananunua mchele na ndizi wapi na kwanini sio mbeya.

Au atawewe mkuu sku jipange ufanye utalii tuu utumie usafiri wa trein dar to mbeya,afu ufike mbingu ununue ndizi afu mlimba ununue mchele then nenda kalinganishe hzo products na products za mbeya.

Au nenda sokoni kaulizie Bei ya mkungu wa ndizi kutoka moro kilombero na kutoka mbeya utapata majibu.

Au nenda Kwenye maonyesho ya nanenane afu tafuta hzo products kutoka moro kule ifakara then linganisha na mbeya.
 
Mkungu wa ndizi ya mbeya unafika had15000 mkuu..wa hapa hauzid 5000!
Mchele wa moro kilo ikiwa umepanda sana 2000 wa mbeya had 2400-2600!..mchele wa mbeya ni habari nyingine mkuu...!.hao wanaonunua kwa tren mostyl huwa wa maisha ya hali ya kina sisi hali ya chini...! Nahisi hivyo! Hata carrot ya mbeya tofaut ladha na ya moro..ile tamuuu
 
Ahahaa....mkuu soko lipi hlo dar mkungu hauzid sh elf 5? mana hiyo Bei ndo tunayonunulia shamban mkungu tena sometimes inapanda adi elf 8,na sokoni kawaida ndiz inarange elf 15 adi 20 haijalishi hyo ndizi imetoka wapi Ila tu kwenye ubora Sasa ndo znatofautiana.

Ila sibishi kwa dar mkungu kuuzwa elf 5,Mana kuna zile ndizi tunaziita nyambi afu pia dar unapata kitu kulingana na pesa yako.

Kuhusu mchele pia ni kweli mchele wa mbeya upo marketable Ila quality poor ukilinganisha na wa moro.
 
😄😄😄! Dah...kweli ladha tumetofautiana aisee! ..basi sawa boss
 
Mikoa fulani vijana wanashindana kunyoa viduku na kukimbiza vibodaboda vya matajiri ova wanapeleka damu ICU..
Wadada /wamama kazi yetu kuvaa madera ndan hakuna kitu...!hehee...!huku ukionekana unajituma tuma utanuniwa na hata unaweza wasipokee salamu yako[emoji1][emoji1]! NAOTA TU MIE
Una utani na waluguru wewe
 
Back
Top Bottom