Tuna mengi ya kuyakemea yahusuyo "ukiukwaji wa maadili" yanayooendelea kutendwa kuliko hayo mnayoyashupalia....eti "KUVAA PAMPAS" ndo liwe neno la kuudhi lisilokidhi Kigezo cha kupitishwa na mhariri kama taarifa kwa umma?? alafu mbaya zaidi ilikuwa ni mjadala wa moja kwa moja...Uhariri ungefanyikaje hapo? TCRA mko Serious kweli au ni kusaka sifa tu kwa mkulu ili nanyi siku moja mumpelekee mkulu SALIO kama chenji ya kubana matumizi kama alivyofanya huyo MVAA PAMPAS??
"SIFA ZA KIJINGA"
HAKIKA MMEAMUA KUKUSANYA MAPATO KWA NAMNA YOYOTE IWAVYO!!
Sasa na mimi narudia...
"Naibu spika kwa jinsi alivyoking'anga'nia kiti utadhani KAVAA NEPI KUUKUU kiasi kwamba hataki aonwe na wabunge pindi akisimama kama HAJA imechafua weupe wa NEPI"
Njooni mnipige faini ili kusudio la kukusanya mapato lidhihiri! Shwain!