BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Alimtukana tusi gani?
"mamilioni" ni kuanzia milioni ngapi?Yaani lengo lako linajionesha wazi,si useme tu milioni 5!Eti "mamilioni", kichwa cha habari hadi content unasema hivyo!
Hujaelewa,soma between lines!Yaani anataka kuaminisha watu ambao hawajajua figure halisi wawe na kadirio kubwa sana!Muandishi bila shaka anajua figure halisi ndio maana kaanzisha Uzi!Basi kwenye heading andika "mamilion" kuvutia wasomaji ila kwenye content andika "milion5""mamilioni" ni kuanzia milioni ngapi?
Lakini haujajibu swali.Hujaelewa,soma between lines!Yaani anataka kuaminisha watu ambao hawajajua figure halisi wawe na kadirio kubwa sana!Muandishi bila shaka anajua figure halisi ndio maana kaanzisha Uzi!Basi kwenye heading andika "mamilion" kuvutia wasomaji ila kwenye content andika "milion5"
Na ww unaweza jiita msomi kweli Tanzania ni janga"mamilioni" ni kuanzia milioni ngapi?
Duh, aisee hebu rudi tena shule ya msingi.Na ww unaweza jiita msomi kweli Tanzania ni janga
Kwa kusaidia mfano mdogo MAMIA, MAMILIONI ma milioni ni kianzia milioni mia
U don't need 2waste yre time on someone who only wants U around when it fits their needs.:O:O:O:OOne of bogus person tulio jaliwa kuwa nao jf.
Hehehe polesanaNyie mliyobemen....dwa ni shidaaaaaaa
Siyo kosa lako.........****Hehehe polesana
Yaonyesha nijinsi gani mamako ana ukoo wa watoto!!
Sasa kosa la mbunge ndio ITV walipe? na ndio, watu wanaruhusiwa kutukana, hata Obama anatukanwa no one cares.
Nipe sababu ya ITV kulipa faini
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Clouds wana ukaribu NA jumuia za mashoga na wanapenda kuwahoji Mara kwa Mara.....sasa sijui kuna taasisi za mashoga zinawafadhili chini kwa chini?
Nashangaa hata viongozi wa serikali wanapenda kwenda kufanya mahojiano kwenye vyombo kama clouds japo vina tuhuma ya kualika kila mara mashoga
***RUNGU LA TCRA: Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania leo imevitoza faini ya jumla Sh19m vituo vya utangazaji, ITV, Clouds TV na Redio Clouds kwa kukiuka kanuni za utangazaji.
TCRA wanasema Clouds Media imepigwa faini hiyo kutokana na kosa la kushabikia mapenzi ya mbuzi na binadamu kwenye chombo chao cha habari na kupiga wimbo wa mwanamuziki Mwana FA ambao unapaswa kupigwa muda maalumu ambao wameagizwa.
ITV wamepigwa faini hiyo kutokana na kipindi kutoka bungeni kilichokuwa kinaoongozwa moja kwa moja, ambapo Mbunge wa Iringa Mjini alisikika akisema "Naibu Spika amekuwa kama anavaa pampas, hataki kubanduka kwenye kiti kuongoza bunge".
TCRA imewakumbusha wadau wote kufuata sheria na maadili ya utangazaji ili kuepuka adhabu na ukiukwaji wa maadili.
Watu wenye vichwa kama hivi eti wafanikishe ujenzi wa viwanda!ITV walijifanya wajanja kuwa wanaweza mrusha yeyote Live bila kufanya risk assesment kwa mtu wanayemrusha live! Hawakujua kuwa kuna baadhi ya watu ni high risk kwa vyombo vya habari kuwarusha live.
Tarehe 15 june 2016 ITV kwenye kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV walimhoji live Mchungaji Msigwa mmoja wa watu ambao wamekuwa wakililia bunge lirushwe live ili wapate nafasi za kuporomosha matusi live.Hivyo alipopewa hiyo nafasi ya kurushwa live wala hakuchelewa akaanza kuporomosha matusi hewani live akimtukana naibu spika mchana kweupe jua linawaka.
TCRA wakaidaka wameipa onyo kali ITV ikome kurusha matusi hewani na kuitwanga faini ya mamilioni.Mchungaji msigwa kawaponza na kuwatia hasara za mamilioni.Siku ingine inabidi wafanye Risk analyisis ya mtu yeyote wanayetaka kumrusha live kabla ya kumrusha.Kuna watu ni high risk kwa media kuwarusha live.Mfano ni viongozi wote wa UKAWA chombo chochote kikiwarusha Live ni AT THEIR OWN RISK.Hawakawii kurusha matusi hewani.Wanatakiwa kurekodiwa kwanza ,halafu mhariri anapelekewa,ANAHARIRI hiyo habari ndipo habari irushwe hewani au kuandikwa.
source:daily news