Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,931
- 1,727
Tushajua, wewe na nani?Uzuri wake ukweli unakuw wameshaupata/umefka,,, hata acporudia tushajua kuw anavaaga nepi ili acipumzike,,, hahahahah msigwa nae saf xana!
Tushajua, wewe na nani?Uzuri wake ukweli unakuw wameshaupata/umefka,,, hata acporudia tushajua kuw anavaaga nepi ili acipumzike,,, hahahahah msigwa nae saf xana!
huu ndo umbeya.mwanaume mzima unadanganya mchna kweupe.hajatoa barua za siriNdio wajue kuwa Huyo Mropokaji wa Singida atawaponza,
Leo kagawa Barua ya siri tena akifahamu yakuwa nimakosa
Huku akiwaambia wanahabari anataka kuona nani muoga kweli!!
Huyu mtu anavimba kichwa
Niwakati wa kupewa fundisho
Kadekezwa mno
Alikuwa na jipuNaona Mbunge wa Iringa Mjini alishusha makavu kama mzee Trump. Ila NS alijitakia mwenyewe. Kwa nini alikuwa hataki kubanduka kwenye kiti?
Jogoo limewika dodomaSasa kumekucha
Yani ITV wamwombe msigwa tena? Ndio kazi ya vyombo vya habari hiyo?ITV walitakiwa kuomba radhi sio kusema hivyo na walitakiwa kumuomba msigwa arekebishe maneno yake.. Kwakweli kwenye hili wameteleza.
Ndio maana watu wakiwa wanabanwa sana kwenye malumbano ya hoja wasiropoke watu mnaanza kuwashambulia ITV àngalia sasa mmewaponza.
Usiokoteze maneno na kuona umeleta point kumbe hujui kitu. Barua ile iko katika mfumo wa kimashtaka haiwezi kuwa siriNdio wajue kuwa Huyo Mropokaji wa Singida atawaponza,
Leo kagawa Barua ya siri tena akifahamu yakuwa nimakosa
Huku akiwaambia wanahabari anataka kuona nani muoga kweli!!
Huyu mtu anavimba kichwa
Niwakati wa kupewa fundisho
Kadekezwa mno
Unapaswa kupigwa faini na BAKITA kwa kuharibu kiswahili.....hakuna msamiati uitwao "Habarisha".Naipongeza TCRA kwa kuhakikisha nidhamu ya kuhabarisha wananchi inakuwepo nchini!
Usiokoteze maneno na kuona umeleta point kumbe hujui kitu. Barua ile iko katika mfumo wa kimashtaka haiwezi kuwa siri
Hujui kitu ila unaokoteza maneno!Wewe Kibendera ndio usiongee kitu
Waambie Vibendera wenzie
huu ndo umbeya.mwanaume mzima unadanganya mchna kweupe.hajatoa barua za siri
huu ndo umbeya.mwanaume mzima unadanganya mchna kweupe.hajatoa barua za siri
Anawaumiz Wapuuzi kama weweLissu anawaumiza vchwa
Naipongeza TCRA kwa kuhakikisha nidhamu ya kuhabarisha wananchi inakuwepo nchini!