Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Sasa kosa la ITV liko wapi?Kipindi bungeni kilikuwa kinaongozwa moja kwa moja (LIVE).
Daaaah hii nchi bwana?
Sasa kosa la ITV liko wapi?Kipindi bungeni kilikuwa kinaongozwa moja kwa moja (LIVE).
Daaaah hii nchi bwana?
Motochini uwe unasoma habari kabla huja comment sio unakua speed utafikiri kuna mtu anakuvizia akukate mkiaNdio wajue kuwa Huyo Mropokaji wa Singida atawaponza,
Leo kagawa Barua ya siri tena akifahamu yakuwa nimakosa
Huku akiwaambia wanahabari anataka kuona nani muoga kweli!!
Huyu mtu anavimba kichwa
Niwakati wa kupewa fundisho
Kadekezwa mno
RUNGU LA TCRA: Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania leo imevitoza faini ya jumla Sh19m vituo vya utangazaji, ITV, Clouds TV na Redio Clouds kwa kukiuka kanuni za utangazaji.
TCRA wanasema Clouds Media imepigwa faini hiyo kutokana na kosa la kushabikia mapenzi ya mbuzi na binadamu kwenye chombo chao cha habari na kupiga wimbo wa mwanamuziki Mwana FA ambao unapaswa kupigwa muda maalumu ambao wameagizwa.
ITV wamepigwa faini hiyo kutokana na kipindi kutoka bungeni kilichokuwa kinaoongozwa moja kwa moja,ambapo Mbunge wa Iringa Mjini alisikika akisema "Naibu Spika amekuwa kama anavaa pampas,hataki kubanduka kwenye kiti kuongoza bunge".
TCRA imewakumbusha wadau wote kufuata sheria na maadili ya utangazaji ili kuepuka adhabu na ukiukwaji wa maadili.
Clouds wana ukaribu NA jumuia za mashoga na wanapenda kuwahoji Mara kwa Mara.....sasa sijui kuna taasisi za mashoga zinawafadhili chini kwa chini?
Nashangaa hata viongozi wa serikali wanapenda kwenda kufanya mahojiano kwenye vyombo kama clouds japo vina tuhuma ya kualika kila mara mashoga
Lumumba hyo!Ndio wajue kuwa Huyo Mropokaji wa Singida atawaponza,
Leo kagawa Barua ya siri tena akifahamu yakuwa nimakosa
Huku akiwaambia wanahabari anataka kuona nani muoga kweli!!
Huyu mtu anavimba kichwa
Niwakati wa kupewa fundisho
Kadekezwa mno
Ukiona adui yako analialia ujue umemshka matam nice @ msigwaWe limbukeni huko uliko ndio watu wanaruhusiwa kutumia lugha aliyotumia Msigwa kwenye luninga sio?
Kama alchoongea Joseph msukuma jana zile nazo bange tupu!Msigwa alianza kuvuta bangi siku nyingi sana haya ndiyo madhara yako.
Bila shaka ahsanten kwa kuja ndo jina la wimboHuo wimbo wa mwana fa unaitwaje
Msigwa hatorudia upuuzi wake. Si unamuona Lisu?Ukiona adui yako analialia ujue umemshka matam nice @ msigwa
Tcra mnafanya vizuri maana pasipo control nchi hii itakua shamba la bibi kila MTU atafanya anavyotakaRUNGU LA TCRA: Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania leo imevitoza faini ya jumla Sh19m vituo vya utangazaji, ITV, Clouds TV na Redio Clouds kwa kukiuka kanuni za utangazaji.
TCRA wanasema Clouds Media imepigwa faini hiyo kutokana na kosa la kushabikia mapenzi ya mbuzi na binadamu kwenye chombo chao cha habari na kupiga wimbo wa mwanamuziki Mwana FA ambao unapaswa kupigwa muda maalumu ambao wameagizwa.
ITV wamepigwa faini hiyo kutokana na kipindi kutoka bungeni kilichokuwa kinaoongozwa moja kwa moja,ambapo Mbunge wa Iringa Mjini alisikika akisema "Naibu Spika amekuwa kama anavaa pampas,hataki kubanduka kwenye kiti kuongoza bunge".
TCRA imewakumbusha wadau wote kufuata sheria na maadili ya utangazaji ili kuepuka adhabu na ukiukwaji wa maadili.
Msigwa alianza kuvuta bangi siku nyingi sana haya ndiyo madhara yako.
Uzuri wake ukweli unakuw wameshaupata/umefka,,, hata acporudia tushajua kuw anavaaga nepi ili acipumzike,,, hahahahah msigwa nae saf xana!Msigwa hatorudia upuuzi wake. Si unamuona Lisu?