Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,396
kuvaa nepi ni kosa?
Anawahi mgawo wa buku 7 mkuuNawewe umeandika kama umepaliwa na maji, nini umeandika sasa?
Wewe umekurupukaSasa kosa la ITV liko wapi?Kipindi bungeni kilikuwa kinaongozwa moja kwa moja (LIVE).
Daaaah hii nchi bwana?
Wewe umekurupushwaWewe umekurupuka
yani saivi hii nchi kila mtu anafanya maamuzi ili kumfurahisha Ngosha. no logic at allTeh hao mabwana nao wanapenda sana kiki... Kila kitu faini.
Na wewe hubanduki JF, au na wewe umeivaa?Naipongeza TCRA kwa kuhakikisha nidhamu ya kuhabarisha wananchi inakuwepo nchini!
Umejuaje sibanduki ikiwa wewe una banduka?Na wewe hubanduki JF, au na wewe umeivaa?
Mimi ninatumia statistical package niliyoisanikisha kwenye mashine yangu. Inaweza kuweka ranking ya users humu by everything I need. Sema nikiiweka hapa mods watanipa ban kwani I needed some permission to have an access but nikaona watachelewesha maendeleo, nikaingia nijuavyo. Lakini hata manually ukiona interval ya post za mtu unaweza kujua huyu anashinda humu au anakuja kuchungulia na kuchomoka kuendelea na mambo mengine. Ukiona post zako yaani baada ya dakika mbili, tatu au tano umeshabandika kitu!Umejuaje sibanduki ikiwa wewe una banduka?
Mimi ninatumia statistical package niliyoisanikisha kwenye mashine yangu. Inaweza kuweka ranking ya users humu by everything I need. Sema nikiiweka hapa mods watanipa ban kwani I needed some permission to have an access but nikaona watachelewesha maendeleo, nikaingia nijuavyo. Lakini hata manually ukiona interval ya post za mtu unaweza kujua huyu anashinda humu au anakuja kuchungulia na kuchomoka kuendelea na mambo mengine. Ukiona post zako yaani baada ya dakika mbili, tatu au tano umeshabandika kitu!
View attachment 379066
Post ya 2016 hiyoWimbo wa Mwana FA ni upi huo unaopaswa kupigwa usiku tu
Yap najua ni ya 2016 ila wimbo si bado unaishi