Duh majaji vihiyo wanalipeleka taifa pabaya
Heee ama kwa hakika maajabu hayatakaa yaishe nchini Tanzania hasa huko mahakamani.
Kwanini hawakurekebisha hizo kasoro mapema kabla ya kupanga tarehe ya kutoa hukumu ya pingamizi?
Walikuwa na sababu gani ya kubadili tarehe toka 29/11 ya awali hadi 8/11 wakati wakijua kuna kasoro kwa upande wa mahakama?
Mkuu mnaelekea wapi sasa na joto la Dar na mmevaa magwanda mnatachemka inabidi makamanda kila mmoja abebe chupa ya maji.
Kwa nini tunapotoshana hapa JF? leo si siku ya Hukumu ya kurudishiwa Ubunge ama kunyang'anywa bali ni kutowa maamuzi ya pingamizi la walalamikaji kama Rufaa isikilizwe ama isisikilizwe.
Ni lini Rufaa hii ilisikilizwa mpaka leo ndio iwe siku ya Hukumu? tusipende kuripoti vitu ambavyo hatuna uelewa navyo na matokeo yake ni kupotosha jamii nzima, na cha kusikitisha mpaka magazeti ya kijinga nayo yameandika ujinga huu huu.
Siku kumi na nne kufanya marekebisho?
Tafadhali Yericko Nyerere naomba uifanye siku yangu leo iwe njema kwakutupa matokeo hapo mahakamani!
Bundi ameanza kuwanga mchana kweupeeeeee!!LEMA UBUNGE NDO BASI TENA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO INABIDI YAANZE
Ruling tayari,mapingamizi 2 yametupwa,moja limekubaliwa,lakini kwambain 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
Safi sana kwa somo zuri,nazani hapa tumejifunza kitu muhimu!
Point of correction, ni Court of Appeal of Tanzania, sio High court na sio majaji wa mahakama kuu ni majaji wa mahakama ya rufaa wakiongozwa na jaji mkuu.
Poleni makamanda mmekudisha costa kumi kutoka Arusha na Kilimanjaro mpaka Dar, kesi imepigwa tarehe mtarudi au mtasubiri mpaka tarehe 14.
Kesi imeahirishwa.Mahakama imekubali kuna kosoro kwa upande wa mahakama
Baada ya siku 14 marekebisho yatafanyika halafu kesi itarudi tena mahakamani
Poleni makamanda mmekodisha costa kumi kutoka Arusha na Kilimanjaro mpaka Dar, kesi imepigwa tarehe mtarudi au mtasubiri mpaka tarehe 14.
Siku kumi na nne kufanya marekebisho?