Mzee humu ni mipango ya sherehe ya hawa maharusi mambo ya Uenyekiti yalishaita muda mrefu watu tumeshaanza kazi tayari. Nikonasubiri Bishanga aniletee orodha ya wapenzi wote ili tuipitie kwaukaguzi wamwishona kamati yangu
Ok sawa hapo tuko sawa! Nivea mdogo wangu kipenzi naomba uje tujadili hili suala la wewe kukaa nyumbani bila kupata utamu wa kifanyio.
Hahahahaaa usijali nimekusoma Heaven on earthusisahau file langu na figganigga.....maana tangu lipelekwe katika meza ya mwenyekiti
litakuwa litakuwa limejaa vumbi tu
hivi na mimi huwa nina ndoa kweli ? embu nikumbusheni kwa hilo.