Acha kumsingizia mdogo wangu wewe Mzee.
Mdogo wetu Arabela hanywi pombe..ameshika dini kindaki ndaki. Km umefilisika unatakua usaidiwe hela ya pombe useme.
CC: nitonye, Fixed Point
Kwani Erickb52 ulipitishwa kweli kuwa mwenyekiti? hongera zako mwaya, ila kwa swala la u-mswati utakuwa hujawatendea haki Arushaone na Bishanga, si unajua hao hawaridhiki na mmoja..Hello Chitchat!
Nikiwa kama Mwenyekiti wa mahusiano,ninapenda kuwajulisha kuwa ndoa ya nitonye na Arabela nimeipitisha rasmi kuanzia leo tarehe 14 Sep 2013 hivyo ninawatakia heri katika maisha yao mapya ya ndoa!
Siruhusu tena pingamizi kwa ndoa hii!
Pia namuamuru Bishanga aniandalie List ya couple zote zilizojionyesha wazi na tuzipitie kuona kama zinafaa au bado ziko kwenye probation!
Kila member ahakikishe anapitiwa na hili zoezi ili kuepuka vurugu za kugombea mke au mume! zubedayo_mchuzi naomba uje tumalize ule mpango wetu wa kumchukua mimi49
N.B: Hakuna ndoa wa wake wawili au wanaume wawili..yan hakuna u-mswati!
Nawasilisha!
I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano!
Copy Kwa: Bishanga Arushaone watu8 Filipo marejesho Mr Rocky Blaki Womani Cantalisia YNNAH KOKUTONA LiverpoolFC Mtambuzi Smile Mzee Baba V gfsonwin Evelyn Salt Chocs kipipi Nivea Lady doctor ladyfurahia Mentor Judgement Fixed Point snowhite charminglady sweetlady The secretary kiwatengu shansarie Mrembo by Nature Madame B Heaven on earth Slave stevoh Asprin KakaKiiza amu Paloma sosoliso TANMO Preta PakaJimmy Mzee wa Rula Kabakabana mimi49 Remmy Mwanyasi Asprin Kaizer @c6
Special Copy kwa Babu Dark City
Inaruhusiwa mume mmoja wake Tisawe babe wangu figganigga asikusikie nakwambia..........
muda si mrefu Chocs ataanza kulalamika...ukiendelea kutamanishwa na kina ........
Sitoagi rushwa kwenye haki Bishanga
Kama unataka kujua thamani ya Wazee muulize Zahra White.
Hahhhaaa mie siingilii
Toba!!!:shocked:Nipelekwe wapi tena shem Erickb52
Hahahahaaa mama Jr mie ndo Erickb52 eboooooo
nishindwe kupindua kisa nini?
Nasambaratisha km kule Torabora