Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Last edited by a moderator:
Hahahhaaa kumbe ndio maana The secretary anamuita bby Bishanga wakati kajamaa kana mvi hadi kwenye mafusi hahahaaa
Kama unataka kujua thamani ya Wazee muulize Zahra White.
kaka ake Erickb52 si yupo....convincing power ya kaka sio mchezo hata kidogo
Hahahhaaa kumbe ndio maana The secretary anamuita bby Bishanga wakati kajamaa kana mvi hadi kwenye mafusi hahahaaa
Mzee na we ujipange na maverse ya ukweli kuhakikisha hachomoi hata mstari mmojaHeaven on earth. Wadada wa Digitali hawashindwi kumwambia "Kaka kama umempenda olewa wewe""??
Mzee na we ujipange na maverse ya ukweli kuhakikisha hachomoi hata mstari mmoja
Hahahhaaa kumbe ndio maana The secretary anamuita bby Bishanga wakati kajamaa kana mvi hadi kwenye mafusi hahahaaa
Nawewe ushaanza kunichokonoa....unanitaka?
Tangu lini ukamsikia Chocs ananilalamikia kuwa na nyumba ndogo?
Mzee mie mwenyewe natamani kuijaribu hiyo dawa nahisi nna maradhi sugu mieHeaven on earth. Uzee dawa.
Heaven on earth. Hapa nimeingia tuisheni.
Si unajua mistari yetu ya kipindi kile cha pio boksi imepitwa na wakati.
Mzee mie mwenyewe natamani kuijaribu hiyo dawa nahisi nna maradhi sugu mie
Baba V hapinduliki.......ni kama Mugabe tu.....
Heaven on earth. Mwambie Zahra White akuelekeze alikopatia dawa.