Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

hivi na mimi huwa nina ndoa kweli ? embu nikumbusheni kwa hilo.
 
Ok sawa hapo tuko sawa! Nivea mdogo wangu kipenzi naomba uje tujadili hili suala la wewe kukaa nyumbani bila kupata utamu wa kifanyio.
Naomba nikukabidhi Mzee (Ni Jina tu sio mzee kweli) uwe nae kwa siku kadhaa ili kumuona kama atakufaa...binafsi nimemuona anakufaa sana...ni mpole namstaarabu sana.
:target:Kazi ni kwako Nivea :target:


Mungu akubariki sana shemeji Erickb52.

Tafadhali Nivea kuja huku tuyamalize.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom