Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

Naona vyumba zilizojengwa na wapiga dili na kuzigeuza Hostel kuanzia mwenge mpaka mabibo zinakwenda kukosa watu
La hasha, zitapata wateja ila si kwa bei ile ya kukomoana. Mfano pale Lufungila kuna hostel hivi inacharge 92,000/= per bed per month. Fikiria sasa dau hilo nani atoe ikiwa chance zipo kwa hostel mpya za Mawasiliano Udsm
 
yaani msewa watapata tabu kidogo hostel zote zikianza kutumika na watu wakabebana hakuna aja ya kwenda kutafuta room nje zitakuwa zinatosha
 
Pesa zetu hizo:
71,496×700,000×12
=600,566,400,000
Pambanua zimetokana na nini kwa kuangalia hesabu hiyo hapo.
 
Kapicha basi....
makonda-2-jpg.477344
 
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeruhusu hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanza kutumika kuanzia wiki ijayo.

Kwakweli hostel ni nzuri sana na ndani pia wamepatengeneza vizuri sana.

Nasikia zitazinduliwa mwezi huu na chuo walikuwa wanapendekeza ziitwe Magufuli Hostel.

Viva JPM.

Chanzo: TBC
Hongera JPM
 
Waache siasa waziite hall 8 kweli udsm imeiingiza siasa za kipumbavu chuoni, yani had kinapitwa na Makerere, Nairobi zamani UDSM ilikuwa inaongiza Africa na kufukuziana na vyuo vya South, huyo Mkandara inabidi tu apumzike apishe mwingine. Mbona za mabibo hazikupewa jina la Mkapa

Kwani jina linaathiri nini?

Mi naona vyovyote watakavyoita sawa tu, as long as matumizi hayabadiliki na hakuna ubaguzi kwenye ukaaji.

Jina ndo litutoe povu jamani!
 
Ni kazi nzuri. serikali ya tanzania inajua kujenga vitu vyenye viwango vya juu mno ila ukarabati wa mara kwa mara haufanyiki hivyo kufanya majengo yachakae haraka.
 
Kwani zimejengwa kwa pesa zake za mfukoni??

Hizo ni kodi zetu Mzee..

Ni wajibu wa serikali kuhakikisha Wanafunzi wa elimu ya juu wanapata malazi ya uhakika kwa kipindi chote wanapokuwa masomoni..

It's not a favour..sio HISANI..

It's government responsibility.

Usiwe Bongo Lala.
Wewe ndg kwani mtu akifanya au akisababisha Jambo zuri kufanyika haistahili kumpongeza? Mbona hao watungulizi wake hawakuweza kufanya hivyo kwa mda mfupi kama yeye?
 
Kwani zimejengwa kwa pesa zake za mfukoni??

Hizo ni kodi zetu Mzee..

Ni wajibu wa serikali kuhakikisha Wanafunzi wa elimu ya juu wanapata malazi ya uhakika kwa kipindi chote wanapokuwa masomoni..

It's not a favour..sio HISANI..

It's government responsibility.

Usiwe Bongo Lala.

Huu n UKWELI wenye ubongo mweusi n mchungu kumeza ndio mana wanaona kitu cha ajabu wakidhani ni Hisani kumbe ndio serikali inatakiwa ifanye na hakuna cha kuisifia zaid zaid kusema ilkua wap kujenga mpka watu wanaish kwa tabu.
 
Back
Top Bottom