Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

Lazima ukilaze hilo bichwa maana ni empty set kwelikweli[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
naenda canada ziara ya kiserikari kumalizia malipo ya ndege za cs300,,,,,, ngoja me kilaza nilale nsije watia hasara
 
Yani wewe ni zaidi ya kilazer mweupe kichwani unachaganya kweli madesa uwe unawadaganya vilazer wenzako huko vijiweni sio kwenye jukwaa la walio timamu. Acha ushamba
 
Naona unahangaika ka bisi kikaangoni hyo aviation umekremisha jukwaani na barafu asemeje sasa
Acha ujinga kama sio sisi kushauri vundege mlionunua,bombardierq400,,, msinge zinunua za awamu ya pili walikuwa wanataka kuchukua embarier319,,,tukawashauri wanunue cs300,,,walipotaka kununua boeing787 tukawaambia wanunue boeing737-800next gen jpm akagoma so na mimi kilaza naishauri sana serikari
 
Hujui kitu hayo mapanga shaa ndo Nazo unaziita ndege, ndege zenyewe mbovu hizo
 
Binafsi sioni kama kuna umuhimu wowote wa hizo hostel kuitwa magufuli, maana pesa iliyotumika kujenga hizo hostel siyo za magufuli, ni za watanzania peke yao
 
Afadhali ...hongera serikali ya awamu ya 5.
Tumepata shida sana tuliowahi kukaa hall 2...
 
Binafsi sioni kama kuna umuhimu wowote wa hizo hostel kuitwa magufuli, maana pesa iliyotumika kujenga hizo hostel siyo za magufuli, ni za watanzania peke yao
Kwa hiyo ziitwe Watanzania peke yao hostell?

Tubadilishe na uwanja wa ndege wa kimataifa wa dsm...lecture theatres zote zenye jina la nyerere tuziite watanzania...

Daraja la kigamboni...daraja la mkapa yote tuyaite watanzania peke yao.[emoji2]
 
Haya zitaitwa WATANZANIA HOSTEL....furahi sasa mbona benjamin mkapa hospital hela zilikuwa zake,,,je sokoine university hela zilikuwa zake.....bavicha oyeeee
 
Kwa hiyo ziitwe Watanzania peke yao hostell?

Tubadilishe na uwanja wa ndege wa kimataifa wa dsm...lecture theatres zote zenye jina la nyerere tuziite watanzania...

Daraja la kigamboni...daraja la mkapa yote tuyaite watanzania peke yao.[emoji2]
hawezi rudi huyo ana roho ya korosho
 
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeruhusu hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanza kutumika kuanzia wiki ijayo.

Kwakweli hostel ni nzuri sana na ndani pia wamepatengeneza vizuri sana.

Nasikia zitazinduliwa mwezi huu na chuo walikuwa wanapendekeza ziitwe Magufuli Hostel.

Viva JPM.

Chanzo: TBC
Acha upuuzi wewe!! Na kama ikiitwa hivyo basi nitaamini udsm inaanza kuwa kama udom...inatumika kisiasa!!
 
Back
Top Bottom