Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

Kuna injinia feki alikuja humu na kusema nyumba zitaanguka kabla ya kumalizika,na akaahidi kuja siku chache baade na vithibitisho lakini kayeyuka
Hawez kuja tena hapa,na anaombea kwel zianguke
 
Kwani zimejengwa kwa pesa zake za mfukoni??

Hizo ni kodi zetu Mzee..

Ni wajibu wa serikali kuhakikisha Wanafunzi wa elimu ya juu wanapata malazi ya uhakika kwa kipindi chote wanapokuwa masomoni..

It's not a favour..sio HISANI..

It's government responsibility.

Usiwe Bongo Lala.
Tunatakiwa kuiunga mkono serikali na sio kuipongeza.serikali kufanya hivyo ni wajibu wake
 
Si nilishasema hapa asubuhi kwenye mada yangu! Hostel mpya zinatakiwa ziitwe hall 8! Waaache siasa... Mfumo wa kutaja mabweni UDSM ni mfumo wa Halls...
Waache siasa waziite hall 8 kweli udsm imeiingiza siasa za kipumbavu chuoni, yani had kinapitwa na Makerere, Nairobi zamani UDSM ilikuwa inaongiza Africa na kufukuziana na vyuo vya South, huyo Mkandara inabidi tu apumzike apishe mwingine. Mbona za mabibo hazikupewa jina la Mkapa
 
acha roho ya korosho kwani jina linaharibu nini? jina linauwa elimu? duuuuuu ndo msomi wa udsm,,, mbona hukumaind nkuruma hall, tatizo mnawaza siasa tu yaaani mtakufa masikini kwa usiasa wenu
 
acha roho ya korosho kwani jina linaharibu nini? jina linauwa elimu? duuuuuu ndo msomi wa udsm,,, mbona hukumaind nkuruma hall, tatizo mnawaza siasa tu yaaani mtakufa masikini kwa usiasa wenu
Wewe ni kilazer kweli hivi unamkinganishaje nkurumah na falsafa zake na sizonje maybe ua out of ua mind Yale ma hall kwanini hayakuitwa Nyerere huko ni kilujipendekeza tu udsm kwa wana siasa. Au Jk kwanini hakuiita Udom jina lake think out of box saa nyingine kufanya kila nafsi itaonja mauti maana wewe umejibu kimihemko tu
. Wewe ndo utakufa kwa umaskini ka unashindwa kumtofautisha Nkame Nkurumah anayejulikana duniani licha ya kuondoka duniani utakuwa na akili ya bashite tu full kuzungusha
 
Si nilishasema hapa asubuhi kwenye mada yangu! Hostel mpya zinatakiwa ziitwe hall 8! Waaache siasa... Mfumo wa kutaja mabweni UDSM ni mfumo wa Halls...
zinaitwa Magufuli Hostel halafu ndio zile blocks za ndani zinakua na namba block 1 etc.

Ni nzuri ila ule ukuta mbona kama mfupi sana.... vibaka so watakua hawaishi pale
 
Back
Top Bottom