Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

Kwani jina linaathiri nini?

Mi naona vyovyote watakavyoita sawa tu, as long as matumizi hayabadiliki na hakuna ubaguzi kwenye ukaaji.

Jina ndo litutoe povu jamani!
Kila mtu na mtazamo wake hatuwezi fanana ni sawa na wewe unavoona jina halina shida na kwangu naona tofauti kabisa. It's a matter of different views and not mapovu.
 
haaaa nakufahamu sana,,,,nenda basi unversity of clark(USA) maana wana uhusiano mzuri na udsm
University of Clark nikafanyeje tena huko mi nimeahapata nikitakacho Mimi kwa sasa huko Clark labda kutembea tu
 
Napendekeza ziitwe DAUDI BASHITE HOSTEL

Hii itasaidia kupunguza wavuta unga vyuo vikuu
 
Back
Top Bottom