Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,247
Mambo yote kwa ukawaKazi nzuri Magu, 2020 si mbali kuna watu watatoa kila aina ya visingizio
Mambo yote kwa ukawaKazi nzuri Magu, 2020 si mbali kuna watu watatoa kila aina ya visingizio
Kuna injinia feki alikuja humu na kusema nyumba zitaanguka kabla ya kumalizika,na akaahidi kuja siku chache baade na vithibitisho lakini kayeyuka
Kodi zetu sisi watanzaniaAlikuja na mbwembwe akidai atashusha gharama,sijamuona tena
Si nilishasema hapa asubuhi kwenye mada yangu! Hostel mpya zinatakiwa ziitwe hall 8! Waaache siasa... Mfumo wa kutaja mabweni UDSM ni mfumo wa Halls...
Cc:LizaboniKwani zimejengwa kwa pesa zake za mfukoni??
Hizo ni kodi zetu Mzee..
Ni wajibu wa serikali kuhakikisha Wanafunzi wa elimu ya juu wanapata malazi ya uhakika kwa kipindi chote wanapokuwa masomoni..
It's not a favour..sio HISANI..
It's government responsibility.
Usiwe Bongo Lala.
na linaharibu niniYote safi ....hilo jina sasa!
Asante!hongera jpm
Hili ni lakupongezwa.Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeruhusu hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanza kutumika kuanzia wiki ijayo.
Kwakweli hostel ni nzuri sana na ndani pia wamepatengeneza vizuri sana.
Nasikia zitazinduliwa mwezi huu na chuo walikuwa wanapendekeza ziitwe Magufuli Hostel.
Viva JPM.
Chanzo: TBC
TBA wanarukiarukia Miradi. Hawamalizi mradi mmoja wakaenda mwingine. Nyumba za Watumishi za Bunju hadi Leo 2017 hawajamaliza japo walianza tangu 2007. Na wameuza bei ghali sana. Maji, Umeme, barabara bado. Nashanga huu wa UDsm ambayo ni mkubwa kuliko huo umeanza 2016 umeisha!Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeruhusu hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanza kutumika kuanzia wiki ijayo.
Kwakweli hostel ni nzuri sana na ndani pia wamepatengeneza vizuri sana.
Nasikia zitazinduliwa mwezi huu na chuo walikuwa wanapendekeza ziitwe Magufuli Hostel.
Viva JPM.
Chanzo: TBC
AsipowekaHapa ni Bashite tu hadi atuwekee vyet
Jimbo moja liko marekaniTBC ndio kitu gani hicho?
Atadhibitisha UbashiteAsipoweka
Ebu nenda kapalilie mbaaziJimbo moja liko marekani
Ataathirika na nini wakati anaendelea kupigiwa saluti?Atadhibitisha Ubashite
Hujui unaelekezwa unaleta jeuriEbu nenda kapalilie mbaazi