msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,203
Kwani yeye kasemaje? Au kabisha kwamba siyo jukumu la serikali kuhakikisha wanachuo wanaishi mazingira mazuri!Kwani zimejengwa kwa pesa zake za mfukoni??
Hizo ni kodi zetu Mzee..
Ni wajibu wa serikali kuhakikisha Wanafunzi wa elimu ya juu wanapata malazi ya uhakika kwa kipindi chote wanapokuwa masomoni..
It's not a favour..sio HISANI..
It's government responsibility.
Usiwe Bongo Lala.
Kwen
Kusema kweli hapo Rais kafanya kitu chakiume japo watu huwa hatuachi kubeza nikweli kabisa wanahaki yahayo yote ila je usimamizi ungeenda kama mwanzo haya majengo yasingeisha leo.
Yalifanyika maamuzi magumu tena kwakuwahurumia wanachuo kwausmbufu waliokuwa wanaupata. Hongera Sana JPM