Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

udsm kujizalilisha wakati wenyewe ndo waliomba jpm awajengee we vipi ebu nenda YOMBO usain BOOM
Kwani hizo hela alizitoa zake mfukoni maana zile ni kodi zetu Watanzania tunazozitoa. Yani wewe umekremisha Yombo na kwa akili zako wote wanategemea hilo boom tu eeeh.
 
Wewe ni kilazer kweli hivi unamkinganishaje nkurumah na falsafa zake na sizonje maybe ua out of ua mind Yale ma hall kwanini hayakuitwa Nyerere huko ni kilujipendekeza tu udsm kwa wana siasa. Au Jk kwanini hakuiita Udom jina lake think out of box saa nyingine kufanya kila nafsi itaonja mauti maana wewe umejibu kimihemko tu
. Wewe ndo utakufa kwa umaskini ka unashindwa kumtofautisha Nkame Nkurumah anayejulikana duniani licha ya kuondoka duniani utakuwa na akili ya bashite tu full kuzungusha
haaaa nyie chadema kuandika hujui unapiga pumba lakini hujanipa analysis ya kuwa jina la tahasisi linaweza halibu elimu unamuwaza bashite tu....tulia kijana
 
kua
Kwani hizo hela alizitoa zake mfukoni maana zile ni kodi zetu Watanzania tunazozitoa. Yani wewe umekremisha Yombo na kwa akili zako wote wanategemea hilo boom tu eeeh.
ndika hujui upo tu me sinaga usiasa lakini kulipa jina tahasisi hakuhalibu elimu,,,mfano mkapa hospital,sokoine university,,etc,,,,hizo siasa zenu mtazijua wenyewe
 
haaaa nyie chadema kuandika hujui unapiga pumba lakini hujanipa analysis ya kuwa jina la tahasisi linaweza halibu elimu unamuwaza bashite tu....tulia kijana
Wewe uelewa wako sijui niseme una tatizo gani habari ya hostel udsm unaihusisha na CDM huko ka sikujitambua nini?
Maana hata kiswahili kinasumbua tu sasa mambo makubwa ya kufikiri ndo utaweza kung'amua kweli, u bashite ni shida kwako sana
 
wa
zinaitwa Magufuli Hostel halafu ndio zile blocks za ndani zinakua na namba block 1 etc.

Ni nzuri ila ule ukuta mbona kama mfupi sana.... vibaka so watakua hawaishi pale
tatumia CCTV CAMERA kwa ulinzi
 
kua

ndika hujui upo tu me sinaga usiasa lakini kulipa jina tahasisi hakuhalibu elimu,,,mfano mkapa hospital,sokoine university,,etc,,,,hizo siasa zenu mtazijua wenyewe
Kwangu Mimi kuita hivo naona ni upuuzi flani na kujipendekeza kwa udsm ka Chuo kikubwa Tanzania na africa
 
Wewe uelewa wako sijui niseme una tatizo gani habari ya hostel udsm unaihusisha na CDM huko ka sikujitambua nini?
Maana hata kiswahili kinasumbua tu sasa mambo makubwa ya kufikiri ndo utaweza kung'amua kweli, u bashite ni shida kwako sana
me ni engneer nilisoma udsm COET mambo ya kiswahili wanajua watu wa COHU,,, pia nimeshiriki ujenzi wa hizo hostel kuanzia pre-qualification hadi mwisho so cool kijana
 
Unavopenda sifa sasa za kijinga elimu yako umekremisha weee lakini hata kutambua mambo madogo unashindwa kabisa wewe ni janga. Engineer hopeless huna ubavu wa kushiriki ka l na R zinakushinda tu!!!
 
k

ama serikari walinishirikisha kuchagua contractors wa kujenga standard gauge mradi wa tilioni16 basi mi kilaza lakini lugha waulize waliosoma COHU na wako mtaani
 
Iniume ili iweje sasa unajua unawaza ujinga flani maana kwa udsm kuna systems ya kuita halls sasa hyo ni UDSM kujipendekeza kwa wanasiasa
haaaaa vijana mna stress za maisha kweli ebu ni lale zangu
 
k

ama serikari walinishirikisha kuchagua contractors wa kujenga standard gauge mradi wa tilioni16 basi mi kilaza lakini lugha waulize waliosoma COHU na wako mtaani
Hzo hostel hazijafika hata trillion moja acha uongo wewe ulivo mtupu badala ujibu hoja unaiingiza COHU na COET ni wapi na wapi. Wewe ni kilazer
 
Back
Top Bottom