Rudi Nyumbani! Mama Watoto

Rudi Nyumbani! Mama Watoto

Hahaha tatizo lako hutaki dawa chungu. Penzi halishikiliwi kwa plasta. Unataka presha wewe. Hebu acha kujichosha. Nenda love connect kule anzisha stress mpya lol
King'asti maneno yako yanaochoma moyo wangu. Unanikatisha tamaa kabisa.

Please punguza ukali wa maneno yangu kwa ustawi wa maisha yangu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ikinasiana kwa nini watu wanapanick? Badala ya kusema 'hapo hapo bebii'?

King'asti i kitu "ni lazima" iwe ina move "to an fro" ili kufikia malengo.

Vinginevyo hilo ni tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha tatizo lako hutaki dawa chungu. Penzi halishikiliwi kwa plasta. Unataka presha wewe. Hebu acha kujichosha. Nenda love connect kule anzisha stress mpya lol

King'asti. Aaaaaah! Mimi na huyu huyu. Wa kufa na kuzikana. Wa kulia na kufutana machozi. Wa kulishana.

Sihitaji mwingine.!
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja, shemeji rudi nyumbani kwa Mzee, upweke umemzidi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hebu kuwa wazi tatizo ni nini ndipo upewe msada...mficha maradhi.....!

Chocs

Ameondoka nyumbani ghafla, hajarudi tena. Anadai eti ana badili mazingira.

Je hapa siwezi kumfunguli mashtaka na kumdai fidia kwa siku zote alizoniacha mpweke?. Mahakama imuamuru arudi kwa lazima?!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani unavaa kiatu saizi namba ngapi....isije ikawa yamemshinda!!
Chocs

Ameondoka nyumbani ghafla, hajarudi tena. Anadai eti ana badili mazingira.

Je hapa siwezi kumfunguli mashtaka na kumdai fidia kwa siku zote alizoniacha mpweke?. Mahakama imuamuru arudi kwa lazima?!!
 
Na unataka kila mtu apaze sauti tuu......ngoma za bibi zikipasuka, lawama kwa nani!
Embu Mzee tumia njia inayofaa bana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom