Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,130
- 22,347
Ndege ya AIRZAHRA imeshindwa kuendelea na safari baada ya aliekuwa rubani wake capt makinda kushushwa kutoka kwenye ndege na inspector wa TCAA....habari zaidi zinasema rubani huyo alifwata akiwa kwenye ndege kusubiri abiria kuelekea mwanza wapatao 56
gafla alitokea inspecta wa tcaa akamuuliza baadhi ya maswali kabla ya kuamua kumuomba leseni yake ya urubani...katika patashika hiyo capt makinda aligoma kabisa kuonyesha wala kumpa leseni yake...ambapo baadae ililazimika kuelekea pembeni na kupiga simu TCAA kuashiria kuvunjwa kwa safari zao...aijajulikana tatizo ni nini lakini tukiwa kama wadau wamiliki wa AIRZAHRA wanaitajika kueleza hadharani nini kimetokea ambapo mpaka leo hii tunaongea wame cansel safari zao....
Kama bado amjawa competent kwa nini muwape abiria usumbufu kiasi hicho na kufikia kuumiza watu roho.....katika ndege hiyo wlaiokuwepo ndugu wa mkurugenzi wa TCAA Mrs munyagi...ambapo baadhi walisapoti kushushwa na baadhi ya abiria walilamika kwa nini hata kama kuna uzembe waachiwe mpaka wakati wa kupanda abiria na kuwapa usumbufu watu
KAZI KWENU tcaa