Rubani wa Air Zahra ashushwa ndani ya ndege na TCAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rubani wa Air Zahra ashushwa ndani ya ndege na TCAA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 21, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Ndege ya AIRZAHRA imeshindwa kuendelea na safari baada ya aliekuwa rubani wake capt makinda kushushwa kutoka kwenye ndege na inspector wa TCAA....habari zaidi zinasema rubani huyo alifwata akiwa kwenye ndege kusubiri abiria kuelekea mwanza wapatao 56
  gafla alitokea inspecta wa tcaa akamuuliza baadhi ya maswali kabla ya kuamua kumuomba leseni yake ya urubani...katika patashika hiyo capt makinda aligoma kabisa kuonyesha wala kumpa leseni yake...ambapo baadae ililazimika kuelekea pembeni na kupiga simu TCAA kuashiria kuvunjwa kwa safari zao...aijajulikana tatizo ni nini lakini tukiwa kama wadau wamiliki wa AIRZAHRA wanaitajika kueleza hadharani nini kimetokea ambapo mpaka leo hii tunaongea wame cansel safari zao....
  Kama bado amjawa competent kwa nini muwape abiria usumbufu kiasi hicho na kufikia kuumiza watu roho.....katika ndege hiyo wlaiokuwepo ndugu wa mkurugenzi wa TCAA Mrs munyagi...ambapo baadhi walisapoti kushushwa na baadhi ya abiria walilamika kwa nini hata kama kuna uzembe waachiwe mpaka wakati wa kupanda abiria na kuwapa usumbufu watu
  KAZI KWENU tcaa
   
 2. Kakati

  Kakati Senior Member

  #2
  Nov 21, 2009
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  In a country where everybody is pretending to hold a Phd anything can happen.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Ur right br!!!kama mtu ameweza kupewa mamlaka ya WAZIRI nini kurusha ndege!!!hata wehu wanaweza kurusha kwa style hii tatizo la TCAA wako makini lakini awako serious....unakuta labda wamefanya hivyo kutokana na shinikizo fulani lakini utashangaa ndege zingine watu wengine wanaruka illegal kabisa anyway let we c
   
 4. t

  tk JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapa pana jambo. Huyu Capt. Makinda ni among the most experienced and long serving pilots in Tanzania. Yeye alianza career yake na East African Airways, akaendelea na Air Tanzania, akajiunga na Saudia Airlines na nadhani pia aliserve na Kenya Airways (hapa sina uhakika).

  Sasa TCAA kusema hana leseni hilo ni la kushangaza. Hapa kunaweza kuwa na mambo mawili:-

  1. Ugomvi wa kibiashara. Huenda mashirika yaliyopo yana feel threatened na ujiao wa Zahra. Hasa Precision na ATC.

  2. Huenda mtu kamchomea Capt wa watu kuwa leseni yake ime expire. Na watu wa kuchomea huko watakuwa ni hao hao washindani.

  Kama alivyosema mtoa mada. Air Zahra inahitajika kutoa maelezo kwa umma.
   
 5. A

  August JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  tk nashukuru saana kwa maelezo yako/analysis, lakini kuna kitu ambacho umejichanganya, nacho ni kwamba umesema ni rubani mzuri well and good, pia na inaweza kuwa ni kutokana na ugomvi wa kibiashara lakini wakati huo huo umeeleza taarifa ya kwamba leseni yake inaweza kuwa ime-expire, sasa in conclusion kufuatana na sheria inapokuwa ime-expire huna haki ya kurusha ndege hii ni kutokana ni kwamba uwezo wa muhusika upo subject for re-assessment kama mambo ya macho, pressure nk . na nafikiri kuchukua njia ya kusema kachomewa etc etc sio muafaka.
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  Sasa wakimchomea kuna tatizo gani, si ni heri kwa abiria? Ulianza vizuri kuonyesha experience yake, lakini umekuja kuharibu ulipoonyesha kwamba maybe kuna watu wamemchomea. Uzoefu ni kitu kimoja na updated licence ni kitu kingine.
   
 7. T

  Tofty JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Itakuwa ni vizuri kama Air Zahra watatoa tamko kuhusiana na hili kwani all we are doing now is pure speculating!
   
 8. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No matter how it is BUT most of us knows how this country is being DRIVEN,
  MAMBO MENGINE NI KICHEKESHO KA JANA JK ANASEMA TUSIOGOPE USHIKIANO WA EA ESPECIALLY SUALA ZIMA LA ARDHI WAKATI YEYE NDIYE ALIYEKUWA ANAPINGA AKIDAI MPAKA SHERIA ZIWEKWE SAWASAWA JE ZIMEWEKWA?.........
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wasiishie kwenye shirika la ndege hili wawabana na wengine kama mmefanya inspection kwa kibiashara hapo mtakuwa mmekosea lakini kama mmefanya kwa kutimiza wajibu wenu wa kazi hapo sawa chunguzeni na mashirika mengine msisubili dege lianguke ndo muanze kuwa serious kwa maana wabongo wanafanya kazi kwa kikamilifu pindi linapo tokea janga.
   
 10. W

  William John 67 Member

  #10
  Nov 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni biashara tu hawa jamaa wa Atcl na Precision air ndio kazi yao.Hasa Precision air.
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tanzania. a possible COUNTRY
   
 12. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Naomba mtoa mada azidi kufuatilia TCAA na AIRZAHRAili apate sababu kamili kuwa tatizo lilikuwa ni nini, na kutoka hapo tunaweza kujadili kitu halisi kuliko kwahisihisi tatizo
   
 13. t

  tk JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiiangalia kwa makini submission yangu, nimekuwa mwangalifu katika kuiweka ili nisitetee uovu au uhalifu.

  Sababu ya kutia wazo la kuchomea ni jinsi inspection hiyo ilivyofanyika. Katika hali ya kawaida si utaratibu wa kawaida kwa inspectors kuingia kwenye cockpit ya ndege na kuanza kuomba leseni za pilots kama traffic police wanavyofanya kwa madereva wa magari.

  Katika control ya haya mambo ya anga, habari zote (technical details) kuhusu ndege, marubani na kampuni husika huwekwa na kufuatiliwa kwa karibu na kwa umakini sana na TCAA. Pale ambapo taratibu hukiukwa, wale huwa wana data zote tayari na mara tu wanapoona kuna danger fulani hutoa onyo za awali kwa kuwasiliana na kampuni husika.

  Sasa ajabu niliyoiona mimi mpaka ikanipelekea kuhusisha vita vya ushindani na pia kuchomeana ni namna ukaguzi huu ulivyofanywa na matokeo yake ndio hayo, yaani kukorofishana kati ya mkaguzi na pilot mbele ya wateja.

  Jambo hilo kufanywa hadharani si zuri kwa pande zote. Kwanza linaleta wasiwasi kwa wateja (wasafiri), linaiondolea imani mbele ya jamii shirika husika na mwisho linaonyesha kuwa TCAA hawafanyi kazi zao kwa umakini.
   
 14. t

  tk JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Taratibu Mzee Sinkala. Hebu soma #13 huenda ukapowa kidogo.
   
 15. M

  Masatu JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wasiishie kwenye ukaguzi wa marubani tu wakague na hayo madege mitumba na service history zake. Kuna siku nilipanda Precisionair kwenda Znz ilikuwa kitim tim maana huo mngurumo wa ndege hata mwenzangu mie nisie kuwa engineer nilikuwa roho juu.
   
 16. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Oh!! Mimi najiuliza swali si vibaya kama mtu yupo kisheria akakuomba leseni yako , Kutompa ni kosa kwani yeye ametumwa Serikali au anafuata sheria kwani Tanzania Inaendeshwa na Utawala wa Sheria lakini utekelezaji wake ni wa kusuasua. Mimi naunga mkono Hoja kwamba Lazima ashushwe tena Ashtakiwe mahakamani kwa ku oppose law. kwani tunajua hata askari akikuomba kitambulisho chako na wewe ukafahamu kwamba huyu ni askari ambaye yupo kwa ajili yako unatakiwa kumpa hili swala halina mjadala. Yeye sawa ni Rubani wa siku nyingi lakini amejishusha status kwa kushindwa kufikia malengo ya ujuzi, uzoefu na ujasiri wake. Apelekwe mahakamani wewe kama upo legal kwanini ukatae??????????
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  SHERIA ZA TCAA NDUGU INSPECTOR ANA UWEZO WA KUKUFWATA NA KUKUULIZA MUDA WOWOWTE NA WAKATI WOWOTE,,,,...PILI NAMFAHAMU VYEMA CAPT MAKINDA NA NI MTU YUKO GOOD ON FLYING LAKINI YEYE NDIE ALIEANZA KUPINGA KUTOA LICENCE YAKE...SHERIA INASEMA INSPECTOR ANAPOULIZA LICENCE YAKO FASTA UNAMPATIA...SASA LABDA KWA MSHANNGAO HATA HUYO ALIEKUWA AKIMUINSPECT ALIKUWA CAPT WA MUDA MREFU ATCL NA WALIFANYA NAE KAZI...NDIO MAANA HAPO NIKASEMA TUNAITAJI AIRZAHRA KUWEKA WAZI HILI...KULE MWANZA WAMEWADANGANYA ABIRIA RUBANI WA NDEGE KAUGUA GAFLA ABIRIA WOTE WANAULIZA RUBANI YUKO MMOJA AMA LA!!!!MI NAHISI NI VYEMA AIRZAHRA WAKA COMPLY NA SHERIA ZA TCAA...WATU WENGI WANWAITAJI HAWA WATU NA KAMA KUNA MHUSIKA HII KAMPUNI NI ONLY ONE INAYOFANYA RTE ZAKE DAR MWZ,COMORO NA NDEGE KUBWA BOEING...TUSIICHEKE TUJITAHIDI KUISADIA...KAMA WAHUSIKA WA TCAA WAKO HPA TUNAOMBA MSAIDIE ILI TATIZO KUISHA MAPEMA....WANANDUGU NIMETOKA MWANZA JANA USIKU...HAKIKA NI MANYANYASO MATUPU..UNAKWWENDA PRECISSION NDEGE IMEJAA UNARUDI ATCL NDEGE IMEJAA NA SBY 7 UNAANZA KUAMBIWA UTOE 50,000 KUPATA NAFASI HUU NI UHUNI TUSIOUKUBALI KABISA...HII AIPO...
  Nimetoa mawazo yangu kwa huzuni kubwa kwa yaliotokea precission air kurudisha ndege zake ufaransa...hakika kama una akili na unasafiri kigoma mara kwa mara unaweza kuona jinsi watu wanavyohangaika kupata siti za kigoma huko atc...ni manyanyaso matupu pale nje airport unakuta vijana wamekaa kutafuta watu wenye haraka...majuzi nikiwa naeleke kigoma nikaingia ndani 20 min kabla naambiwa ati abiria wamejaa nikamwamia kwa nini jamani kumbe kuna watu wanarushwa ambao sio tar zao kisa wanatoa pesa kwa baadhi ya wafanyakazi wa ATCL...hii ni karaha so ikitokea matatizo kama haya ni vizuri tuombe soln mapema ndugu zanguni Mama Munyagi tunaomba msaada wako kwa hili ili mradi watu wawe illegal on flying
   
 18. a

  annabela78 Member

  #18
  Nov 21, 2009
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Capt Makinda amefikisha umri wa miaka 65 na Aviation indusrty ina sheria ukifikisha miaka 65 hauruhusiwi kurusha ndege peke yako.
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu litafanyiwa kazi....sorry for the inconvenieces
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  ni vyema na haki
   
Loading...