RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

Khaaa yani hapo polisi ndio wanaponivunja mbavu zangu.
Yani mtu huyo ndio silaha nzito namna hiyo lkn wakipigiwa simu kuna majambazi wanakuja masaa 10 baadae.
Au ngono na majambazi adui mkubwa ni ngono
Tatzo naliona ni uelewa wako tu..
Hivi unataka kuniambia mwanafunzi hastahili kutembea na daftar na kalamu awapo shuleni mpaka asikie kuna mtihani ndio ashike daftar na kalamu???

Bunduki ni kitendea kazi cha askar popote awapo kazn
 
Inasikitisha sana..na wazee wa ivyo hua wanavigenge vyao vya kuhadithiana na kupeana huo upuuzi..na hapo ukute rafiki wa huyo Baba anamkula rafiki wa huyo binti

Wazee wa sasa busara zero...huwezi hata kuwakimbilia pale unapopatwa na tatizo
mtihani sana
 
wabongo tumejaa loho mbaya kushangilia magumu yamwenzako utaskia anyengwe mpaka kufa/afungwe maisha unaona laha ungekuwa ww hakuna binadamu mkamilifu yamemkuta mwenzio kesho kwako hata yy enzi zile yuko kazini alikamata wangi sana wenye makosa mbalimbali kumbe hakujua kama nayeye hajakamilika mola musamehe hakujua alitendalo mpenguvu mja wako atayashinda maana kila jalibu linanjia yakutokea
 
Mzee anapenda vitoto vibichiiii.....kichwa cha chini kikifanya kazi,cha juu huenda likizo
kadri ya mwanamume anavyozeeka erectile power inashuka(kusimama dede),tiba ni vidonge,mnato kwaajili ya friction .kwani jinsi anavyoonekana mazoezi na chakula kwake siyo good option
 
Back
Top Bottom