RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

Mbona naye aliwachomoa wabakaji waliofungwa maisha
Hapo ni Tanzania kwel ?, anyway kama umepatikana ushahidi wa kutosha basi afungwe kifungo cha maisha mana anatuharibia mabinti zetu. Ila uongo mbaya ingekua ni nyakazi za uongozi ulee basi hii kesi ingefinywa na kupotelea juu kwa juu ila kwa kipindi hiki cha uongozi lazima akaozee jela.
 
RTO wa ajabu kbsa hyu
Kwanini asiende samaki samaki pale kionda akajiokote

Ova
 
Mempenda uyo BI -dada kashikilia chombo kwa mkono mmoja TUuuu(awo wengine wametundika). Akikupiga kibao anakufyekelea mbaliiii...

........Ila silaha kali ivi zatumika enda fwata mhalifu asiekuwa na silahaaaaaa.....mewaza sanaa
 
Khaaa darasa la tano? Mbona hako katoto kadogo sana!
 
Duh,ni aibu ya mwaka aisee,nako haka kabint darasa la tano kanawajua wanaume?
Hapa karibu na kwangu kuna shule ya Msingi, inasemekana kuna binti wa darasa la tano ni mjamzito tena kutoka kwa mwanafunzi mwezake wa darasa hilohilo shule hiyohiyo!!!!
 
Hao ni askari wa Morogoro acha kupotosha
Mbona kama hii ishu ilitokea kenya wewe mtu unakuja kutudanganya hapa.....

Ukitaka kujua wewe ni muongo wa kutupwa tuwekee link ya hii habari.....

Hizi picha ume-screenshot kule youtube ndio hii habari ipo na ilitokea Nairobi Kenya kitu kama hicho...

Liers are always liers,sijui kwanini mtu anadanganya just for the sake of it!
 
Back
Top Bottom