RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,724
Aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Mkoa (RTO) kabla ya kustaafu, Mashaka Mdachi amejikuta akipatwa na fedheha ya mwaka baada ya kunaswa ‘live’ kitandani kwake akiwa na ‘kabinti kadogo’ ka darasa la tano huko Mororgoro.

Mtoto huyo alipoulizwa alisema alikuwa akipewa shilingi 2000 – 5000 kila anapoenda kukutana naye, na wakaweka mtego kumpata.

FB_IMG_1541831771376.jpeg
FB_IMG_1541831762132.jpeg
 
Back
Top Bottom