COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,622
- 3,696
Unawafahamu waluguru?
Khaaa darasa la tano? Mbona hako katoto kadogo sana!
Khaaa darasa la tano? Mbona hako katoto kadogo sana!
We upoje lakiniiiii....aaaah...em hukooI.d yangu nyingin ni scientist _tz ukikuta na hiyo haipo hewan
Uwatunze wakina swalehe
Huyu Mungu unayemkataa kiujinga akusamehe dhambi zako.Mirhea habari kwanza " ulitoweka kitambo "..... Mimi sijawahi kutoamini uwepo wa Mungu ila siamini uwepo wa Mungu huyu wa waarabu na wazungu ".
Mungu muweza wa yote .upendo kwa wote .mjuzi wa kila kitu .. lakini amemuumba shetani bila ya kujua kuwa atakuja kumuasi halafu kazi ya kupambana nae imemshinda anamsakikizia binaadamu ambaye amesifu kuwa nikiumbe dhaifu ndio apambane nae .. anashindwa kuutumia upendo wake kwa wote ilikuwaokoa mamia ya watu wanaokufa kula Myanmar rhonginjer tena wanao uwawa ni moja ya watu wenye dini yenye idadi kubwa ya watu kiimani dhidi yake "
Mungu muweza wa yote lakini anashindwa kuifanya rhohinger kuwa sehemu yenye amani kama tz " na kama anaweza kuifanya iwe na amani lakini haifanyi iwe hivyo kwa makusudi yake tu basi ni wazi ile sifa ya upendo kwa wote inakuwa haina mantiki kwa sababu tunaona wazi kabisa mapendekezo yake hayo yanamfanya awe Mungu mwenye upendeleo kwa baadhi ya watu na mataifa na pia ni mungu mwenye kupenda kuona damu za watu zikimwagika huku " wale wanaomuabudu na kumtukuza wakibakia kwenye maisha yenye dhiki kwa kukosa makazi na baadhi ya viungo vyao vya mwili
huyo ndiye mungu ambaye mimi naupinga uwepo wake kwa sababu naona wazi kuwa yuko overrated sana
Uharibifu gani Dada angu hapo?
Duh,ni aibu ya mwaka aisee,nako haka kabint darasa la tano kanawajua wanaume?
Unaibiwa ... be a criticalHuyu Mungu unayemkataa kiujinga akusamehe dhambi zako.
HapanaUnawafahamu waluguru?
Potea kimpango wako....Acha nikupotezee tu.
Na kenyewe kwani kuwa darasa la tano hakasikii raha ya kubamizwa? Waulizeni wanawake mambo hayo.Kwan hujaona?just imagine huyo binti ni mwanao au mdogo ako hutaona uharibifu hapo?
Binti una matatizo gani? mbona unatokwa povu hovyo? naona unataka kuigeuza jf kua ni sehemu ya kumalizia stress zako sio? huo upupu unaokuwasha katafute pa kuutolea,hapa mwisho utaishia kuikimbia tu hii mada,msalimie mumeo.Potea kimpango wako....
ukibandika takataka lazima tukubrash....
this is a public cyber space...