Francovic benard
Member
- Jul 13, 2015
- 81
- 36
jamaa hapo alibugi ila ilibidi nikapitie juu kuhakikisha kama kweli ulisema IGP sio cheoChief vipi naona Kimya je Meela alistaafu na cheo gani?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
jamaa hapo alibugi ila ilibidi nikapitie juu kuhakikisha kama kweli ulisema IGP sio cheoChief vipi naona Kimya je Meela alistaafu na cheo gani?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Mnachanganya kuwa commissioned officer na commissioner katika Polisi.Jiulize kama Kwa JWTZ commission inaanza na nyota moja(luteni usu),kwanini kiitwe luteni usu au luteni badala ya kuita commissioner wa jeshi(kama cheo).acha mambo yako kwa POLISI COMMISION ya Rais ni kuanzia ngaz ya ACP (Assistant Commisioner of Police)
NdioNashukuru bora nikajisomee tu, ila ukweli ni kwamba hiyo shule nimemaliza miaka 20 iliyopita, vipi nikirudi chekechea watanikubali?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
hivi historia ya Abdel Fattah el-sisi unaijuaa....Abdel Fattah el-sisi mnamo June 2013 ndiye aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi katika kumpindua Rais Mohamed Morsi...kipindi hiko cha June 2013 Abdel Fattah el-sisi aliongoza mapinduzi akiwa na cheo cha General..Kwani Abdel Fattah el Sisi ni wa kipindi kipi?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Waulize makao makuu ya jeshi ndio wanajua,sio kazi yangu hiyo.Chief vipi naona Kimya je Meela alistaafu na cheo gani?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
katika JWTZ huwezi kukuta ofsa yoyote akiitwa Commisioner kwa kuwa ndio taratibu zilivyowekwa...Ila upande wa Police navyoelewa Commision offcer ila ya Rais inaanzia Rank ya ACP...Ndio maana katika kuwateua na kuwaapisha Rank za ACP,SACP,DCP kwenda had kwa IGP mh.Rais lazima ahusike kwa 100% kama hayupo basi watasuburi, tofaut na wengine huko chiniMnachanganya kuwa commissioned officer na commissioner katika Polisi.Jiulize kama Kwa JWTZ commission inaanza na nyota moja(luteni usu),kwanini kiitwe luteni usu au luteni badala ya kuita commissioner wa jeshi(kama cheo).
Kuwa ACP, SACP, DCP na CP hayo ni majina tu ya vyeo vya polisi Kwa utaratibu wao.Commission Kwa polisi inaanza na nyota 3(ASP).
Na maana ya commission ni mamlaka kutoka Kwa Rais,ndio maana cheo cha hao ASP(nyota 3) huanza kuteuliwa kuwa mkuu wa polisi wa wilaya(OCD).Na kuwa ktk kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya (Kwa hadhi yake kama OCD)ambayo mkuu wa wilaya ndiye mwenyekiti.
Sasa mbona unakataa jibu? Si kubali kama kweli. [emoji38][emoji38][emoji38]umejaa upepo sioWaulize makao makuu ya jeshi ndio wanajua,sio kazi yangu hiyo.
ahahaahaa jamaa ametoa jibu kwa hasira aisee hebu kwa sasa muacheSasa mbona unakataa jibu? Si kubali kama kweli. [emoji38][emoji38][emoji38]umejaa upepo sio
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Jibu wewe mjuaji unayejua mimi sijui,kwanini jeshi letu linaitwa "Defence force badala ya Army?"Kweli mabwege nazi hawaishi. Hivi ndio umejibu au umehorproja hapa?badala ya kujibu unatudisha swali, hatwendi hivyo
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Duuuuhh mzee baba hili jibu kuna ishara njema kweliWaulize makao makuu ya jeshi ndio wanajua,sio kazi yangu hiyo.
Hapana sio hasira,ni jibu sahihi!ahahaahaa jamaa ametoa jibu kwa hasira aisee hebu kwa sasa muache
yeye pia hajakili kama mwanzo alisema IGP sio cheo ni madaraka,,asidhani tumesahauHapana sio hasira,ni jibu sahihi!
Hiyo ni dalili ya kujaa upepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jibu wewe mjuaji unayejua mimi sijui,kwanini jeshi letu linaitwa "Defence force badala ya Army?"
Maana wewe ndiye uliyeuliza swali na majibu unayo wewe mwenyewe.Wape faida wengine na huyo uliyemuuliza.
katika vyeo vya kijenerali viko vi4Ngoja mimi niendelee kupata elimu hapa..mimi nilikua nafahamu siku zote jenerali katika jeshi anakua ni mmoja tu,kumbe sio hivyo....ila kwa sasa tz kuna luten jenerali wawili
Hapana,jibu swali ulilouliza,Sisi hatuna majibu.😱Hiyo ni dalili ya kujaa upepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Na polisi hivyo ni vyeo vyao.ASP(nyota 3) ndio commission inaanzia,na sio ACP.katika JWTZ huwezi kukuta ofsa yoyote akiitwa Commisioner kwa kuwa ndio taratibu zilivyowekwa...Ila upande wa Police navyoelewa Commision offcer ila ya Rais inaanzia Rank ya ACP...Ndio maana katika kuwateua na kuwaapisha Rank za ACP,SACP,DCP kwenda had kwa IGP mh.Rais lazima ahusike kwa 100% kama hayupo basi watasuburi, tofaut na wengine huko chini
True ndo maana nilisema cheo kilichomekewa tu, tangu aondoke hakipo tena ila structure mpya ambayo imeongeza idara na Idadi ya CPsunamjua DIGP Kaniki...ambaye alipangiwa kwenda kuwa BALOZI
Acha upotoshaji wewe, kamisheni ya magereza,polisi,uhamiaji,zimamoto inaanzia ACP - KAMISHNA MSAIDIZINa polisi hivyo ni vyeo vyao.ASP(nyota 3) ndio commission inaanzia,na sio ACP.
Kuna jamaa yangu nilihudhuria sherehe ya kupewa commission pale chuo cha polisi,barracks Kilwa road.Ilikuwa mwaka 2007,Rais mstaafu Kikwete ndiye aliye wakabidhi commission.Walikuwa wanapewa nyota ya tatu.Sasa hivi yeye kawa na cheo cha ACP na ni RPC wa mkoa fulani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha upotoshaji wewe, kamisheni ya magereza,polisi,uhamiaji,zimamoto inaanzia ACP - KAMISHNA MSAIDIZI