RPC apiga marufuku mahafali ya CHASO Morogoro

RPC apiga marufuku mahafali ya CHASO Morogoro

Ukiangalia movie ya Sarafina Madam Masambuga akiwa anawafundisha watoto wake kuhusu Napoleon war,aliwaambia namna ambavyo jeshi la Napoleon lilivyorudi nyuma baada ya WANANCHI kuchoma jiji la Moscow ili kumkimbiza Napoleon, jeshi kubwa la Napoleon lilikuwa halijawahi kupigwa na nchi yoyote ile LAKINI WANANCHI WALILIKIMBIZA MOSCOW, so madam masambuga akawaambia "THE PEOPLE CAN DEFEAT THE ARMY, HISYORY HAS PROVED"...........
 
Me love this...u know what goes around comes arround
 
Kama ni kweli ccm wao ni ruksa kufsnya mshafali lakini si ruksa kwa chadema bssi mnapaswa kulisema hili kwCsauti kubwa sana kila mtu aliskkie. Ubaguzi huu haukubaliki, shit!
 
Ndugu zangu wa CHADEMA , uoga ni tabia ya kawaida ya binadamu, hivyo kuwa nao sio jambo la ajabu.
Ni tabia ya kibiolojia.
Ila tunapotaka kufanikisha mambo makubwa lazima tuushinde uoga.
Dawa pekee ya kushinda uoga ni kuamua na baada ya kuamua songa mbele, usifikirie fikirie sana, mambo mengine yatajipanga yenyewe.
Piga hatu hata kama unatoka jasho, hata kama unatetemeka.
Utakuwa umewapa watu wengi moyo wa kuwa na ujasiri na wewe hutasumbuka sana mara nyingine unapotakiwa kufanya maamuzi magumu.
Ndugu zangu Morogoro chukueni hatua, hakikisheni hayo ya CCM hayafanyiki.
Hapo ni mjini, iteni vyombo vya habari kwa wingi ili huu uovu umulikwe.
 
Kwa sasa kila mtu anafanyakazi kwa Uoga sana..''Ni heri kujihami kuliko kutumbuliwa...''
 
Dawa pekee ya kushinda uoga ni kuamua na baada ya kuamua songa mbele, usifikirie fikirie sana, mambo mengine yatajipanga yenyewe.

Ulishawahi ona Lowasa na Mbowe wao na familia zao wako mstari wa mbele kuongoza maandamano ya ambako virungu vya askari na mabomu vinatembea? Familia zao kuanzia wake zao ,watoto zao huwa salama salimini wametulia wanakula bata mahali halafu wanawasokomeza mazombie kama nyie msiojielewa.Wanasema msiogope wao wako baa wanatandika bia mahali salama.
 
YEHODAYO, Viongozi wa mapinduzi hawatakiwi wafe mapema, maana wakifa mapema mapinduzi yatakuwa yamepata pigo kubwa sana.
Marekani imepigana vita vingi, lini ulisikia rais wa Marekani akipigana mstari wa mbele?
Je? Nyerere alipigana mstari wa mbele kule Uganda?
Kwanini leo utake viongozi wetu wa mapinduzi wapigane mstari wa mbele?
Nasema kwa makamanda wote, njia fupi ya kwenda kwenye demokrasia ni kupitia makao makuu ya CCM.
Jinsi tutakavyoiangusha CCM mapema ndio jinsi tutakavyofika kwenye demokrasia ya kweli mapema!
Tunahitaji juhudi na sadaka ya kila mmoja anayeguswa na hili giza tunalolipita kama Taifa!
 
Kama nilimuelewa vizuri...mwenyewe, amesema kwa maeneo ambayo vyama vilishida ruksa kufanya siasa yaani kwenye majimbo kwenye kata , matawi/vijiji na vitongoji. Chama kilichoshinda ndicho kinaruhusiwa kufanya shughuli maeneo yale. Morogoro mjini CCM ilishinda. Vyuo vyote viko chini ya mbunge wa CCM mh. Aboud (SUA,MZUMBE,Muslim Univesity,Jordan n.k). Kwa hiyo CCM ruksa. Vinginevyo kama mgekuwa jimbo la Mikumi kwa Joseph Haule ilikuwa ruksa kufanya mahafali Ulaya(mji mdogo wa jimbo la Mikumi) ama Ilakala. Nawaza msinishangae...!!
 
Viongozi wa mapinduzi hawatakiwi wafe mapema, maana wakifa mapema mapinduzi yatakuwa yamepata pigo kubwa sana.

TUMEUSIKIA UTETEZI WAKO koko wa kusokomeza watoto wa wanyonge mbele kwenye marisasi na mabomu wewe uendelee kula kuku na wanao wakati wa mapambano na baada ya mapambano
 
Ulishawahi ona Lowasa na Mbowe wao na familia zao wako mstari wa mbele kuongoza maandamano ya ambako virungu vya askari na mabomu vinatembea? Familia zao kuanzia wake zao ,watoto zao huwa salama salimini wametulia wanakula bata mahali halafu wanawasokomeza mazombie kama nyie msiojielewa.Wanasema msiogope wao wako baa wanatandika bia mahali salama.
Mawazo ya hovyo kabisa kutolewa na mwana Jf. Haki haitafutwi kwa sababu ya viongozi bali kwa sababu ya wananchi waishi huru bila kubanwa na hi a zinazoitwa Intelligencia
 
inabidi wabdili jina waite socha wataruhusiwa tu, wawahi kabla hawajatafakari
 
Hivi chaso ni kitu gani?
Kumbe chaso ni chama cha siasa. Duh!! Hawa wapuuzi kweli. So kama wanaona wameonewa waingie mitaani bila ruhusa. Watajuta kuzaliwa.
Kumbe chaso ni chama cha siasa. Duh!! Hawa wapuuzi kweli. So kama wanaona wameonewa waingie mitaani bila ruhusa. Watajuta kuzaliwa.
unaelewa unacho changia ndugu ??? hebu fuatilia kwanza kwa makin ili ujue na uelewe unancho changia.
 
TUMEUSIKIA UTETEZI WAKO koko wa kusokomeza watoto wa wanyonge mbele kwenye marisasi na mabomu wewe uendelee kula kuku na wanao wakati wa mapambano na baada ya mapambano
Kwa nini uwapige hao unaowata watoto wa maskini risasi ??!!. Hebu jifunzeni kwa kina Cameroon ulafi huu wa CCM utatupeleka kusiko
 
Back
Top Bottom