RPC apiga marufuku mahafali ya CHASO Morogoro

Na: Jafary Ndege:
Mratibu Chaso Mkoa~Morogoro

Leo nimebahatika kwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa Polisi Morogoro baada ya kutuita Viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya kuzungumzia Mahafali ya Chaso Mkoa yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/06/2016 ambapo Mgeni Rasmi ni Mhe. Edward Lowassa.

Cha kunishangaza tulipokuwa tunazungumza na RPC akasema yafuatayo:

1. Siwezi kuwaruhusu kufanya mahafali yoyote kwa kuwa Sasa hivi Haturuhusu mikusanyiko ya aina yoyote.
2. Hivi msipofanya mahafali mtapungukiwa nini..mahafali yana faida gani kwenu??
3. Mnafanyeje Mahafali bila wanafunzi kufanya mitihani yao??

Lakini wakati RPC anasema hayo kesho Jumamosi tar 25/06/2016..Shirikisho la CCM wanafanya Mahafali yao pale SAVOY HOTEL.

Sasa najiuliza;

1.Mahafali ya CCM yanayofanyika kesho sio mkusanyiko?? Tena kwa mujibu wa RPC wa Morogoro inaonesha CCM wanafanya mahafali yao bila kibali chochote.

2.Naendelea kujiuliza hivi RPC hakusoma sekondari wala Chuo kujua umuhimu Mahafali au hata kama hakusoma hakuwahi kusikia mahafali kwa jirani ili atambue umuhimu wake.

3. Naendelea kujiuliza kuwa RPC hajui kuwa wengi wetu na utaratibu tangu sekondari tumekuwa tukifanya mahafali kabla ya mitihani? Amekariri kuwa mahafali yanafanyika tu baada ya mitihani...kumbe yote yanawezekana.

USHAURI: Ni lazma ifike sehemu tuache kulalamika kila siku tufanye maamuzi kwa vitendo ili Dunia yote ijue...Haiwezekani Nchi wapo wenye haki zaidi kuliko wengne...Nchi hii ni ya kwetu sisi sote..Kama mikutano inazuiwa, Vikao vinazuiwa, mahafali yanazuiwa, tutatafuta njia nyingine..HAKI HAIOMBWI..

Jafary Ndege,
Mratibu CHASO~MKOA MOROGORO.
Policcm
 
Ulishawahi ona Lowasa na Mbowe wao na familia zao wako mstari wa mbele kuongoza maandamano ya ambako virungu vya askari na mabomu vinatembea? Familia zao kuanzia wake zao ,watoto zao huwa salama salimini wametulia wanakula bata mahali halafu wanawasokomeza mazombie kama nyie msiojielewa.Wanasema msiogope wao wako baa wanatandika bia mahali salama.
Umetumwa kutoka Lumumba. Mwaogopa siasa siku hizi? Sukari tu hoi.
 
Maneno yake hayaendani na matendo yake. Akikwambia maneno kumi usishike hata moja.

mtu anayeongoza iv n huyu huyu alisema atakuwa rais wa wote na n huyuhuyu kila siku anasema tumuombee,,,,,hiz double standard za waz kuna siku zitatukost
 
Na: Jafary Ndege:
Mratibu Chaso Mkoa~Morogoro

Leo nimebahatika kwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa Polisi Morogoro baada ya kutuita Viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya kuzungumzia Mahafali ya Chaso Mkoa yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/06/2016 ambapo Mgeni Rasmi ni Mhe. Edward Lowassa.

Cha kunishangaza tulipokuwa tunazungumza na RPC akasema yafuatayo:

1. Siwezi kuwaruhusu kufanya mahafali yoyote kwa kuwa Sasa hivi Haturuhusu mikusanyiko ya aina yoyote.
2. Hivi msipofanya mahafali mtapungukiwa nini..mahafali yana faida gani kwenu??
3. Mnafanyeje Mahafali bila wanafunzi kufanya mitihani yao??

Lakini wakati RPC anasema hayo kesho Jumamosi tar 25/06/2016..Shirikisho la CCM wanafanya Mahafali yao pale SAVOY HOTEL.

Sasa najiuliza;

1.Mahafali ya CCM yanayofanyika kesho sio mkusanyiko?? Tena kwa mujibu wa RPC wa Morogoro inaonesha CCM wanafanya mahafali yao bila kibali chochote.

2.Naendelea kujiuliza hivi RPC hakusoma sekondari wala Chuo kujua umuhimu Mahafali au hata kama hakusoma hakuwahi kusikia mahafali kwa jirani ili atambue umuhimu wake.

3. Naendelea kujiuliza kuwa RPC hajui kuwa wengi wetu na utaratibu tangu sekondari tumekuwa tukifanya mahafali kabla ya mitihani? Amekariri kuwa mahafali yanafanyika tu baada ya mitihani...kumbe yote yanawezekana.

USHAURI: Ni lazma ifike sehemu tuache kulalamika kila siku tufanye maamuzi kwa vitendo ili Dunia yote ijue...Haiwezekani Nchi wapo wenye haki zaidi kuliko wengne...Nchi hii ni ya kwetu sisi sote..Kama mikutano inazuiwa, Vikao vinazuiwa, mahafali yanazuiwa, tutatafuta njia nyingine..HAKI HAIOMBWI..

Jafary Ndege,
Mratibu CHASO~MKOA MOROGORO.
Mpaka sasa hatujasikia ccm wakitoa matamko ya kisiasa zaidi ya wanafunzi wenyewe kushirikishana. Hivi kusoma hujui hata picha huoni? Chaso na Lowasa sawasawa na mkutano wa kisiasa na yanayo semwa huko ni yatokanayo na kampeni zilizo pita.
Kila mkutano utafanyika au kuzuiwa kutokana na taarifa zake za kiintelejensia zilizo wafikia polisi na wao hawawezi kuzipuuza ama zinawadanganya au zinawaeleza ukweli lazima zipewe uzito
 
hapo naona mlimuweka kwenye dilema kati ya chaso na kazi yake.
 
Na: Jafary Ndege:
Mratibu Chaso Mkoa~Morogoro

Leo nimebahatika kwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa Polisi Morogoro baada ya kutuita Viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya kuzungumzia Mahafali ya Chaso Mkoa yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/06/2016 ambapo Mgeni Rasmi ni Mhe. Edward Lowassa.

Cha kunishangaza tulipokuwa tunazungumza na RPC akasema yafuatayo:

1. Siwezi kuwaruhusu kufanya mahafali yoyote kwa kuwa Sasa hivi Haturuhusu mikusanyiko ya aina yoyote.
2. Hivi msipofanya mahafali mtapungukiwa nini..mahafali yana faida gani kwenu??
3. Mnafanyeje Mahafali bila wanafunzi kufanya mitihani yao??

Lakini wakati RPC anasema hayo kesho Jumamosi tar 25/06/2016..Shirikisho la CCM wanafanya Mahafali yao pale SAVOY HOTEL.

Sasa najiuliza;

1.Mahafali ya CCM yanayofanyika kesho sio mkusanyiko?? Tena kwa mujibu wa RPC wa Morogoro inaonesha CCM wanafanya mahafali yao bila kibali chochote.

2.Naendelea kujiuliza hivi RPC hakusoma sekondari wala Chuo kujua umuhimu Mahafali au hata kama hakusoma hakuwahi kusikia mahafali kwa jirani ili atambue umuhimu wake.

3. Naendelea kujiuliza kuwa RPC hajui kuwa wengi wetu na utaratibu tangu sekondari tumekuwa tukifanya mahafali kabla ya mitihani? Amekariri kuwa mahafali yanafanyika tu baada ya mitihani...kumbe yote yanawezekana.

USHAURI: Ni lazma ifike sehemu tuache kulalamika kila siku tufanye maamuzi kwa vitendo ili Dunia yote ijue...Haiwezekani Nchi wapo wenye haki zaidi kuliko wengne...Nchi hii ni ya kwetu sisi sote..Kama mikutano inazuiwa, Vikao vinazuiwa, mahafali yanazuiwa, tutatafuta njia nyingine..HAKI HAIOMBWI..

Jafary Ndege,
Mratibu CHASO~MKOA MOROGORO.
kwani cdm ni chuo hadi kufanya mahafali au ni kutafuta uwanja kupiga ngwara juhudi za rais aliyeko madarakani!
 
Ukiangalia movie ya Sarafina Madam Masambuga akiwa anawafundisha watoto wake kuhusu Napoleon war,aliwaambia namna ambavyo jeshi la Napoleon lilivyorudi nyuma baada ya WANANCHI kuchoma jiji la Moscow ili kumkimbiza Napoleon, jeshi kubwa la Napoleon lilikuwa halijawahi kupigwa na nchi yoyote ile LAKINI WANANCHI WALILIKIMBIZA MOSCOW, so madam masambuga akawaambia "THE PEOPLE CAN DEFEAT THE ARMY, HISYORY HAS PROVED"...........
Aisee, umenikumbusha, ngoja leo jioni nikaangalie tena ile video ya SARAFINA.
 
M
Hizi graduation za kichama ni aina mpya ya graduation....yaani hivyo vyuo vyenu kwa miaka minne vimewafundisha siasa?

Mbona mnadhihaki mahafali kiasi hiki?
mbona kuna graduation za kidini?
 
Litengenezwe azimio maalumu kupigania hili jambo.
 
Ulishawahi ona Lowasa na Mbowe wao na familia zao wako mstari wa mbele kuongoza maandamano ya ambako virungu vya askari na mabomu vinatembea? Familia zao kuanzia wake zao ,watoto zao huwa salama salimini wametulia wanakula bata mahali halafu wanawasokomeza mazombie kama nyie msiojielewa.Wanasema msiogope wao wako baa wanatandika bia mahali salama.
Hata jeshi linapokuwa vitani majenerali waongoza vita hawaendi mstari wa mbele na huko walipo wanalindwa sana. Hata wakienda mstari wa mbele kuna kuwa taarifa za kutosha kuwa ni salama kwao. Kiongozi lazima awe salama ili aendelee kutoa maelekezo ya mapambano. Hivyo Lowasa ana Mbowe and other Ukawa boses lazima wawe salama kwa ufanisi wa mapambano
 
Na: Jafary Ndege:
Mratibu Chaso Mkoa~Morogoro

Leo nimebahatika kwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa Polisi Morogoro baada ya kutuita Viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya kuzungumzia Mahafali ya Chaso Mkoa yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/06/2016 ambapo Mgeni Rasmi ni Mhe. Edward Lowassa.

Cha kunishangaza tulipokuwa tunazungumza na RPC akasema yafuatayo:

1. Siwezi kuwaruhusu kufanya mahafali yoyote kwa kuwa Sasa hivi Haturuhusu mikusanyiko ya aina yoyote.
2. Hivi msipofanya mahafali mtapungukiwa nini..mahafali yana faida gani kwenu??
3. Mnafanyeje Mahafali bila wanafunzi kufanya mitihani yao??

Lakini wakati RPC anasema hayo kesho Jumamosi tar 25/06/2016..Shirikisho la CCM wanafanya Mahafali yao pale SAVOY HOTEL.

Sasa najiuliza;

1.Mahafali ya CCM yanayofanyika kesho sio mkusanyiko?? Tena kwa mujibu wa RPC wa Morogoro inaonesha CCM wanafanya mahafali yao bila kibali chochote.

2.Naendelea kujiuliza hivi RPC hakusoma sekondari wala Chuo kujua umuhimu Mahafali au hata kama hakusoma hakuwahi kusikia mahafali kwa jirani ili atambue umuhimu wake.

3. Naendelea kujiuliza kuwa RPC hajui kuwa wengi wetu na utaratibu tangu sekondari tumekuwa tukifanya mahafali kabla ya mitihani? Amekariri kuwa mahafali yanafanyika tu baada ya mitihani...kumbe yote yanawezekana.

USHAURI: Ni lazma ifike sehemu tuache kulalamika kila siku tufanye maamuzi kwa vitendo ili Dunia yote ijue...Haiwezekani Nchi wapo wenye haki zaidi kuliko wengne...Nchi hii ni ya kwetu sisi sote..Kama mikutano inazuiwa, Vikao vinazuiwa, mahafali yanazuiwa, tutatafuta njia nyingine..HAKI HAIOMBWI..

Jafary Ndege,
Mratibu CHASO~MKOA MOROGORO.
Hivi hicho chuo kinachoitwa Chaso kipo wapi? Hebu jaribuni kuitafuta hiyo mnayoita demokrasia muone cha mtema kuni
 
Kwa nini hukumuuliza ya hao wengine wa ccm?
 
Dawa hapo ni nyie kubadili ukumbi. Mkafanyie karibu na CCM.
 
Back
Top Bottom