Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,696
- 11,297
Nendeni Savoy mkavuruge ya CCM
mahafali yanayofanyika kabla ya mitihani na kabla ya matokeo ni ya darasa la saba, kidato cha nne na sita na vyuo vya Diploma za ualimu.Hakuna chuo kikuu kinafanya mahafali kabla hata ya matokeo.MAHAFALI YA VYUO VIKUU YANAMAANISHA KUHITIMU NA KUFUZU KISHA KUTUNIKIWA.HAO NI WAHUNI TU.
kama mnategemea mtasaidiwa na mataifa ya nje dhidi ya manyanyaso ya serikali ya ccm mmekwisha. jumuiya nyingi za kimataifa ni ndumilakuwili.Hivi kwanini dunia inajua tunavyama vingi ile hali uhuru wa vyama vingi umeminywa
Mkuu sijui kama umefika chuo kikuu...mahafali yanayofanyika kabla ya mitihani na kabla ya matokeo ni ya darasa la saba, kidato cha nne na sita na vyuo vya Diploma za ualimu.Hakuna chuo kikuu kinafanya mahafali kabla hata ya matokeo.MAHAFALI YA VYUO VIKUU YANAMAANISHA KUHITIMU NA KUFUZU KISHA KUTUNIKIWA.HAO NI WAHUNI TU.
Kwanini mnatumia nguvu kubwa kupotosha jambo ambalo liko wazi tu? Hivi Lowassa mbona anawapa shida kiasi hiki? Tumekuwa na taratibu hizi kwa muda mrefu tu. Vyuo vikuu tumekuwa tukifanya hizi hafla kulingana na makundi mbalimbali yakiwemo ya kiimani. Kwa mfano, Ukwata, TYCS, Waislamu; nakadhalika. Baadaye imekuja vikundi vya ufuasi wa kisiasa nao wakaanza kufanya hafla za kuagana na zimekuwa zikihudhuriwa na wageni rasmi ambao ni viongozi ndani ya vyama. Na ieleweke ni CCM wenyewe walioazisha mambo haya, leo kwa sababu tu mmeamua kuziba midomo ya wapinzani mmeona mpige marufuku hafla hizo ili akina wapinzani wasipate forum za kuwakosoa. Huu uoga wa kukosolewa ni mpaka lini? Kuongoza ni pamoja na kuwa tayari hata kukosolewa!Mkuu pia hao hawajielewi.Mahafali ya shule ya msingi na sekondari hufanyika mashuleni.Lakini huitwa mahafali ya kumaliza chuo na hutolewa vyeti vinavyoitwa LEAVING CERTIFICATE.
vyuo vikuu hawatoi LEAVING certificate!!!!! Ndio maana Mahafali hufanyika baada ya matokeo ya mitihani.Hao ni wahuni tu hao
Hivyo vyeti anavyowagawia Lowasa ni vyeti hewa.Na ni aibu msomi mzima kugawiwa cheti hewa
Taifa linalojengwa huko ni taifa la wenye chuki na manung'uniko ambalo huzaa watu wenye tabia za ugaidi. Tusifike huko .
Hivi chaso ni kitu gani?
Pulchra Animo, If not for your references, nobody would know who you support in Tanzanian politics.
If not for your long essay, no one would think you are too verbal and less factual!
You could have easely hide your personal interests from the ruling government if you could talk about our national cry for now - DEMOCRACY!
But thanks to God yo've managed to show your colours as one of the ticks that has bennefited from the current system!
So, I know you would like to return the favour and may ask for more favours!
I don't know what you studied in the G7 appart from English course where you are exellent but I know you didn't study anything about organization growth and management styles.
Your very wordy but not knowing the minings of the words.
Simply, leadership and management looks same to you and their requirements even same!
Its easy to replace managers but not leaders and organizations start with leaders.
Please read Grainer's model and review your previous comment about opposition parties leadership!
And after, answer to how low did Mwalimu JK stayed as a party leader and why?
And talk off any limmits to leadership terms during party inception that you know off!
Last, Join our voices for Democracy and freedom of expression as your repayment to Tanzanians for their sacrifices to keep you abroad!