Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

Mama anampiga kijembe cha haja "Gwajiboy" kwa kuuliza kwa kusanifu...."Kawe tunachanja ama hatuchanji"...naona Gwajiboy ameshikwa na kidaka...."Ana-smile" Ni hakika Moyoni ananajua mtihani huo teh teh teh...Anaikwepa kuijbu kistaaarabu kauli hiyo ya Mama anabakia kusema... "Mama watu wa Kawe wana mahaba na wewe...

Kweli..."Siasa si hasa" Period!
 
Watu wa maadili pale mjengoni watanuna!

Mh Rais wa JMT kaustukia mchezo wa Kiongozi wa Bunge alikuwa hamsaidii bali alitaka kuonesha IGP/CPL kakosea na kuonesha dharau. Pia ni kama kutaka kuonesha anasimama na Mh Rais kuliko hao wa wizara ya mambo ya ndani na ile ya sheria/ Mwanasheria Mkuu wa Serikali .

Mh Rais kafanya vizuri kuongea kwa kusisitiza kwamba chanjo ni hiari na mtu mzima mwenye akili timamu hatakiwi kupangiwa afanye maamuzi gani juu ya chanjo. Kwa kweli hili na apongezwe sana sana na ndicho wengine tulichokitaka. Lakini asiishie hapo ajipange atafanya nini kama mkuu wa nchi kuwalinda walio amua kuchagua hiari ya kuto chanja, pale wenye chanjo watakapoanza kuleta masharti ya kibaguzi na ukandamizaji. USA watu wanafukuzwa kutoka kwenye ajira zao kwa vile wamekataa kuchanjwa.
 
Hayo ma helkopta yanayodhurula angani ni kufuja pesa tu.
Ni nani anampango na nyie wadhulumati?
Au mnamwogopa Hamza?
 
Gwajima,
Amepanda mapa ya mwisho,mwezi ujao anavuliwa uanachama na maccm .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…