Rotary Dar Marathon(RDM 2018)


Tatizo bongo hizi shughuli zanachanganywa na njaa ya watu wachache kitu kinachopelekea shughuli nzima kukosa ubora.
 
Tutakua wengi Sana. Cha muhimu niwahi kuamka tu siku ya tukio. Maana Kama najiona nitakavyokua nahama viwanja vya MOSHI
Ukitaka uweze kukimbia hata 3km bas Bata uanze kulila pale utakapokuwa umeishia njian na sio usiku kabla
 
Mwakani nimepanga kushiriki kila mashindano ya riadha, mwaka huu nilijipendekeza bila maandalizi ila kilichonikuta ni adhabu niliyojiandalia mwenyewe.
 
Mwakani nimepanga kushiriki kila mashindano ya riadha, mwaka huu nilijipendekeza bila maandalizi ila kilichonikuta ni adhabu niliyojiandalia mwenyewe.
Ha ha ha uliishia wapi?
 
Mimi nitaanza kufanya mazoezi. Nilikimbia week tu niliumwaga magoti siwezi sahau. Siku hizi natembea tu.. Kuanzia November nitaanza kukimbia tena mdogo mdogo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shogangu kwa mwendo huo marathon waachie akina RRONDO wewe hutaiweza
 
Rotary ni wakala wa shetani, ni genge la washiriki wa mambo ya ibilisi, ni muungano wa kuhadaa watu ili waone shetani anaweza kuwafanikisha bila Mungu, ni moja ya vikundi wakikuona una kipaji wanakutunuku, hivyo usilalamike, shetani bado hakutambui, kuwa na kipaji uone.
 
Aisee...!
 
Yesuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…