Sio Mbali around February to March next year ila ujipange maana Moshi na Dar ni tofaut sana si unajua the more you go away from sea level mgandamizo wa hewa unaongezeka enhee?Tutakutana huko mkuu
Nitajipanga.. Ila nimedhamiria kabisa kushirikiSio Mbali around February to March next year ila ujipange maana Moshi na Dar ni tofaut sana si unajua the more you go away from sea level mgandamizo wa hewa unaongezeka enhee?
Kill Marathon i think wana 5Km Fun run pamoja na zile za 21km na 42km so its you to choose na itakua 3rd March 2019Nitajipanga.. Ila nimedhamiria kabisa kushiriki
Kila la heri mamy, nitakuja kukushangiliaHongera kwa kushiriki. Na Mimi mwakani nitajitosa Kili Marathon inshallah. Ngoja nianze kupunguza nyama
5km fupi Sana bwana..Kill Marathon i think wana 5Km Fun run pamoja na zile za 21km na 42km so its you to choose na itakua 3rd March 2019
Ila kwa ushaur go for 5Km
Karibu mpenzi.. Uje ukimbieKila la heri mamy, nitakuja kukushangilia
Asante dear, mimi kukimbia hapana kwa kweliKaribu mpenzi.. Uje ukimbie
Kama unahitaji 21km anza mazoez sasa hvi nsikudanganye maana raha ya mbio na wewe ufike kwenye lile neno FINISH5km fupi Sana bwana..
Mimi nitaanza kufanya mazoezi. Nilikimbia week tu niliumwaga magoti siwezi sahau. Siku hizi natembea tu.. Kuanzia November nitaanza kukimbia tena mdogo mdogoAsante dear, mimi kukimbia hapana kwa kweli
Yakinishinda narudia njianiKama unahitaji 21km anza mazoez sasa hvi nsikudanganye maana raha ya mbio na wewe ufike kwenye lile neno FINISH
Vyote viwili.. HahahahaaaWewe unaenda kukimbia au kula bata?