Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

kwa kuwa imewezekana kutumia wacha watumie tu....................huh
 
leo muda huu mahali ambapo walikusanyika kumpokea mgombea wa ccm wakiwa pamoja na rc mkoa wa tabora wameua mtoto kwa sasa hakuna shamla shamla kuna msiba.wananchi wamesara wanasema ccm walianza rushwa mungu amekataa na hii ta leo ni laana kwao.je wadau ni haki rec anatumia kodi ya wananchi kwenye msafara wa ccm?hebu nisaidie hili.
 
leo muda huu mahali ambapo walikusanyika kumpokea mgombea wa ccm wakiwa pamoja na rc mkoa wa  tabora wameua mtoto kwa sasa hakuna shamla shamla kuna msiba.wananchi wamesara wanasema ccm walianza rushwa mungu amekataa na hii ta leo ni laana kwao.je wadau ni haki rc anatumia kodi ya wananchi kwenye msafara wa ccm?hebu nisaidie hili.
 
suala la ccm kutumia helkopter ni kuiga chadema wakati mwanzo walisema kutumia helkoptre ni matumizi mabaya je wamesahau au ni undondocha wao kama kawaida yao.hata hivyo kafumu ni mkaazi wa dsm kama alivyokuwa roazim.
 
Kwa sababu kila mmoja anataka kushinda jimbo la Igunga

KWa SABABU WOTE NI MAFISADI. HIYO GHARAMA YA MAFUTA YA KUENDESHA HIZO HELKOPTA KWA NINI WASISHINDANE KATIKA KUJENGA ZAHANATI??

KWA HILI WOTE WANATUMIA MASABURI KUFIKIRI
 
Rais wa awami iliyopita wa Marekani George Bush baada ya Obama kumwua gaidi Osama bin Laden alimwomba aende kushiriki mkutano kule NY GROUND ZERO, lakini kwa busara zake na kutokana na kuchafuka sana alikataa kutoshiriki, na kusema ameamua kupumzika kwa kutojitokeza hadharani.

Huyu Mkapa matatizo mengi tunayoona sasa hivi yameanzia au kusababishwa naye nayeye kuchafuka kwa mengi tu na hata juzi tu kalipuliwa Bungeni kujimilisha ardhi huko Morogoro?

La kuvunda halina ubani maana CCM hawana msafi sasa ni kuwasimamisha wenye kashfa nzito kugombea ubunge kama Dr. Kafumu.

Ngoja tuone itakuwaje. Hii movie kali.
 
Nadhani atakuwa ni msaada mkubwa sana kwa CCM. Huyu mzee huwa haogopi mtu yeyote, nakumbuka alivyodiriki kuwaita Chadema KOKOTO pale Jangwani. Chadema walilalamika sana lakini jamaa hata hakuogopa.
Hamna lolote hilo gamba tu .go CDM
 
Mimi nasubiri kwa hamu nimwone atakaeshindwa, atakavyonuna akifikiria gharama aliyotumia na yaliyomkuta.
 
Lengo ni kuwafikia walengwa (wapiga kura) kwa urahisi. Itawasaidia kutembelea maeneo meng kwa urahisi.
 
CCM,hizo nguvu mnazotaka kuzitumia zinaashiria nini? mnatumia hadi silaha ya mwisho kwa uchaguzi mdogo? hayo yangefanywa na upinzani hatutashangaa.CCM kama mmefikia hatua ya kumtumia Rais wetu mstaafu,ni dalili za kufilisika kimtaji wa watu wanaokubalika ktk chama.Hiyo ni dharau kwa Mh mkapa na ni kumshushis hadhi,hakika hastahili kufanya kazi za upiga debe,Mkapa ni mtu wa kitaifa na kimataifa hivi sasa,anategemewa na UN ktk mambo mengi ya msingi kimataifa,Si wa majukumu ya kitoto kama ya kumnadi mgombea ubunge.Walau kumnadi raisi wa nchi.Ni dhihaka na aibu kwake kama kweli atakubali kufanya ukonda,na TAFADHALI ASIJIDHALILISHE,NA ASIKUBALILISHWA,SI STAHILI YAKE.Kama ccm wanadhani hawatashinda bila mkapa,ni aibu.
 
CCM imeshakosa mvuto kwa wananchi ndo maana wanatumia bunduki kuua mbu.Hakika hawatafanikiwa kutokana na jamaa huyu kuwa ndo miongoni mwa wa2 waliotuharia nchi yetu.Makosa yake makubwa
1.Kufanya biashara akiwa ikulu kosa kubwa sana kikatiba
2. Kuuza rasilimali zetu kwa wazungu mfano.
3.Kuuza nyumba za serikali kwa bei ya bure
4.Kuasisi ufisadi kama EPA na nyingine nyingi
5.Kusaini mikatac ya wiziwizi
Pamoja na kutumia risasi kuua mbu pia ccm wametumia majitaka kudekia nyumba
 
mkapa awe makini kushidwa kwa ccm Igunga ina maana hata yeye atakuwa amedharilika sana kwa hiyo inahitaji kujiepusha na siasa uchwara za JK maana anawatumia kwa nini asiende yeye na Nepi, Chiwakati, na wengine au hata Yusuf Makamba ba sio mheshimiwa mkapa aachane na siasa chafu zitamchafua sana
 
kwani huyu naye ma-scandal mengi yanayotafuna nchi hii si yaliaanzia kwake? He is just one of those guys,kaburu ni kaburu tu.
 
Atachafuka! They should let him rest in peace! Wasimsumbue
 
Nami nilikuwa na mtazamo huo. sidhani ni sahihi kumtumia Mkapa kwa uchaguzi mdogo wa Igunga. He should have remained angalau ingekuwa ni kuzindua kampeni za mgombea urais sawa. Let us wait and see kama kweli ataenda but sidhani!
 
Nami nilikuwa na mtazamo huo. sidhani ni sahihi kumtumia Mkapa kwa uchaguzi mdogo wa Igunga. He should have remained angalau ingekuwa ni kuzindua kampeni za mgombea urais sawa. Let us wait and see kama kweli ataenda but sidhani!

Ktk vita hakuna kavita kadogo, unapiga constantly kuanzia mwanzo.
 
Back
Top Bottom