Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Halafu wanataka Gamba walilolivua wenyewe, RA, ndio likajumuike na Mkapa kufungua kampeni! Kweli sikio la kufa halisikii dawa!

MTIFUANO KATI YA WANANCHI NA MAGWIJI WA UFISADI NCHINI KULE
IGUNGA: MZEE MKAPA TAFADHALI JIEGESHE KANDO!!!

Mtifuano wa samaki kambale(wa maji baridi) kwenye maji ya matope hata samaki nyangumi (wa maji chumvi) haifui dafu!!!!!!!!

Bora hivyo; mbali na faida ambayo mtu angefikiria BMW angeweza kukiletea CCM kule Igunga, binafsi nisingependa ghadhabu za wananchi kwa ugumu wa maisha hivi sasa unavyodaiwa kuletwa nchini na 'Genge la Mafisadi' nchini ije ikamuangukia bure mzee wetu.

Huu mtifuano kati ya wananchi na mafisadi pale Igunga na kwingineko kote nchini, ni busara Mzee Mkapa na Dokta Shein (mtaarabu wa siasa za Ki-Tanzania kwa uhalisia wake) wakakae pembeni.

kwa taarifa zilizopatikana hivi punde mkapa haendi igunga'kazi ipo

Masikini Mzee MKapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa nini ameamu kuingia kwenye huu mtifuano kati ya wananchi na genge la mafisadi sugu nchini?????????? Hivi atatoka salama kweli huko bila ya Wana-Igunga kumtifulia mbovu kweli?????????

Duuhhhhhhhhhhh, hebu subiri kwanza ya zamani yaliyolala yatakavyoamshwa upyaaaaaaaaa tena hapa.Mimi nisingemshauri akaingie kuogelea haya maji mtifuano ya sasa, mara mia angejipumzikia tu mzee wa watu!!!!!!!!!

Rais wa awami iliyopita wa Marekani George Bush baada ya Obama kumwua gaidi Osama bin Laden alimwomba aende kushiriki mkutano kule NY GROUND ZERO, lakini kwa busara zake na kutokana na kuchafuka sana alikataa kutoshiriki, na kusema ameamua kupumzika kwa kutojitokeza hadharani.

Huyu Mkapa matatizo mengi tunayoona sasa hivi yameanzia au kusababishwa naye nayeye kuchafuka kwa mengi tu na hata juzi tu kalipuliwa Bungeni kujimilisha ardhi huko Morogoro?

La kuvunda halina ubani maana CCM hawana msafi sasa ni kuwasimamisha wenye kashfa nzito kugombea ubunge kama Dr. Kafumu.

Mwalimu ndiye anaiweza siasa??

Pole..Jimbo ni la CCM hilo mama!

afadhali mwalimu anayajua na kuyaishi matatizo ya igunga.Dr wa kwenye viyoyozi pale Nishati na madini imemshinda.ataiweza igunga?

Mwalimu ndiye anaiweza siasa??
Pole..Jimbo ni la CCM hilo mama!
kwa nini hamkumteua mzee Mwinyi?
akili zenu bana mnazijua wenyewe..Mkapa hafai mbele ya jamii.. bora hata Kikwete angeenda mwenyewe

Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
Wakati RA anawatangazia wanaigunga juu ya yeye kujivua gamba wanaigunga walikuwa na mabango wakilalamika kwa kutumia mabango kuwa wanataka balabala na wengine hospitali, shule na huduma nyingine za jamii
kwa mabango yale sidhani kama kuna maendeleo yangekuwepo wasinge kuwa na mabango

Rostam Aziz! huyu jamaa bado ana ushawishi mkubwa Igunga, kwa jinsi nilivyoona siku ile watu wazima wakimwaga machozi!
Kwa kipindi cha nyuma ni kweli, wana igunga walimuamini wakampa jimbo ila RA huyo huyo aliwageuka na kusema licha ya kunipa uongozi mi staki naachia ngazi, Wanaigunga walilia, wakamuinamia kama mfalme na kumuomba abadilishe uamuzi wake bado hakuwa tayari hapo utaona ni kwa jinsi huyo bwana hana huruma leo hii RA akasemame mbele ya wanaigunga na kusema eti fulani anawafaa
nadhani kila mwanaigunga atajua hata huyo anaye nadiwa na RA atawakana kama RA alivyofanya

CCM walisema kuwa wanajivua gamba (la kifisadi) ili waweze kukubalika kuendelea kuongoza! .... hapa walikuwa na maana ya kupata nafasi ya kuongoza . Lakini kama mafisadi wa Igunga akiwemo Rostam wanaweza kuwasaidia ili waendelee kuongoza jimbo hilo, CCM hawana taabu na Mafisadi wala hawana sababu ya kuvua hayo magamba.
umeona ehheeeeeeeeeee!!!

CCM kwa unafiki na uongo ni chanda na pete!
teh teh teh teh

Pendekezo hilo ni sawa na mtu kuchanganya petroli na maji chungu kimoja; matokeo yake ni kwamba petroli, kwa kuwa huelea juu, yatakapomalizika kutumika yale MAJI TAKA yaliochanganywa mle kamwe hayatosaidia kitu kuendesha zaidi machine.

Kambi yetu ya upinzani, hivi mnaona kweli kule kuchanganyikiwa kwa CCM kulivyopanda ghafla Igunga??????????? Kazi kwenu .......!!!!!!!!!!!!!!

Halafu wanataka Gamba walilolivua wenyewe, RA, ndio likajumuike na Mkapa kufungua kampeni! Kweli sikio la kufa halisikii dawa!

Mtifuano wa samaki kambale(wa maji baridi) kwenye maji ya matope hata samaki nyangumi (wa maji chumvi) haifui dafu!!!!!!!!

Huu mtifuano kati ya wananchi na mafisadi pale Igunga na kwingineko kote nchini, ni busara Mzee Mkapa na Dokta Shein (mtaarabu wa siasa za Ki-Tanzania kwa uhalisia wake) wakakae pembeni.

Kazi kweli kweli, maana hapa nimebaki kushikiloia mbavu zangu, humu ndani kuna watu wanatuumiza, hadi kikombe cha chai kimenimwagikia, dhu hii kali.

Nimeamini CCCCCCCCm aka chama chamajambazi kimeisha, kama MkapaNdo msafi,ni bora tuchukue nchi sasa ivi,,,

Jamani naombeni sana ktk mkutano wake lazima maswali yaruhusiwe haya mambo ya kutuhubiria jukwaani na kuondoka
hizo ni siasa za kizamani . Bwana mkapa lazima awe tayari kujibu maswali ya wananchi watakavyotaka ufafanuzi juu ya vitu mbali mbali atakavyozungumza. Mlioko igunga please andaeni maswali ya kumuuliza la kwangu mimi ni kuhusu ile kampuni yake aliyofungua akiwa ikulu ya anben na kumuuliza kwa heshima kuwa mheshimiwa ktk vita dhidi ya ufisadi limeibuka hili swala lako la juu ya kutumia ikulu, ofisi ya umma kuendeshea kampuni yako binafsi iliyofunguliwa kwa anuani ya ikulu kwa mujibu wa kumbukumbu zilizoko kwa msajili wa makampuni yaani brela naomba kujua ulipata wapi mamlaka ya kutumia ofisi ya umma kwa ajili ya kuendeshea biashara binafsi badala ya umma na je huko tayari kuwarudishia watanzania gharama za kutumia ofisi zilizotumika ?? Naomba wengine kama mna maswali myaweke hapa hili wenzetu wana harakati wa igunga wakiwemo waandishi wapate kuuliza please.

Watumishi waandamizi wa serikali siyo wazuri sana kuwawakilisha wananchi kwa sasa, wengi wamehusishwa katika kashfa nyingi kwa namna moja ama nyingine kutokana na ukosefu wa uadilifu uliopo serikalini.
Kuna uwezekano mkubwa pia wa mtumishi mwandamizi wa serikali anapochaguliwa kuwa mbunge akawasaliti wananchi kwa kuwa mtetezi wa ufisadi unaofanywa na washirika wake serikalini.
Ni muhimu kwa sasa kujaribu kuchagua watu wanaoweza kuwatetea watanzania maskini kizalendo zaidi, na mtanzania anayeweza kufanya hivyo ni yule ambaye hajashiriki kutoa maamuzi katika idara za serikali zenye maamuzi na mikataba ya kifisadi kama ya nishati na madini.
Vyama vyote ikiwemo CCM vinapaswa kuliangalia hili na wananchi wawe makini katika uchaguzi wachague mtu anayeshirikiana nao kimawazo na kivitendo.

Yaani hawa Chama Cha Magamba wanataka kutuambia kuwa kwa sasa Mkapa hayumo kwenye ile LIST OF SHAME???
Huyu huyu ndiye aliyeleta sera ya UGENISHAJI sera ambayo mpaka sasa WAGENI aka WAWEKEZAJI wanavuna RASLIMALI ZA TAIFA HILI KAMA VILE HAZINA MWENYEWE. Angalia kule kwenye MIGODI ya madini😀HAHABU,ALMASI,TANZANITE zinavyotoroshwa kila siku kwa ndege zinazoruka na kutua moja kwa moja kwenye migodi husika pasipo na kupitia Viwanja vya Kimataifa ka KIA na JK Nyerere yote ikiwa ni kukwepa KODI,yaani ni WIZI MTUPU!

Mkapa huyu huyu ndiye mwasisi na mwanzilishi wa madudu haya yafuatayo:
1. EPA.
2. KAGODA.
3. DEEP GREEN(Rangi ya Bendera ya CCM).
4. MEREMETA.
5. ANBEN.
6. RADA FAKE.
7. GULFSTREAM-(Ndege ya Rais inayoweza kutua uwanja mmoja pekee nchini yaani JK Nyerere Internatinal Airport).
8. Uuzaji/Ubinafsushaji wa NBC/NMB ambao haukuwa na tija.
9. Uuzaji/Ubinafisishaji wa TTCL na ndoa fake ya TTCL/CELTEL na baadaye ZAIN na sasa AIRTEL.
10. Ununuzi/Uwekezaji fake wa Mkapa Mgodi wa KIWIRA kwa kulipa 70m Tshs, badala ya 700m Tshs.
11. Uuzaji/Ubinafisishaji wa ATC kwa SA Airlines na hatimaye kifo cha mende cha ATC mpaka sasa.
12. n.k.
Mkapa ni GAMBA jingine ananuka RUSHWA,UFISADI na WIZI uliopitiliza.

Shime wana Igunga we challenge you to VOTE AGAINST CHAMA CHA MAGAMBA to demonstrate your patriotic and democratic move and rights.
CAST YOUR VOTES IN FAVOUR OF CHADEMA FOR YOUR FUTURE PROSPERITY.

Mimi nitakuwa wa kwanza kuwashangaa sana Wana Igunga kama mtaipigia CCM kura wakti haohao CCM wamemtosa Mbunge wenu mpendwa RA kuwa ni Gamba hafai na nyie kuonyesha kuwa hamkufurahishwa na kitendo hicho TULIWAONA KUPITIA RUNINGA MKIMLILIA RA NA WENGINE MKAZIMIA HUKU MKIMTAKA RA abatilishe uamzi wake wa kujiuzulu!!!

Kazi ni kwenu.

Mkapa ni afadhali kuliko Jk. Mkapa aliendesha nchi kwa umakini mkubwa pamoja na baadhi ya kasoro zilizojitokeza. JK anaendesha nchi kisanii, hakubaliwi popote tz kwa hapa alipofikisha nchi. Kwanza ahadi za mwaka jana bado zinakumbukwa hata kugusa moja walau kuonesha kuwa zitatekelezwa hakuna. Atawaambia nini wana Igunga?

what?

Back
Top Bottom