Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Hivi jamani inamaana Watanzania ni wasahaulifu kiasi cha kusahau yote yaliyotokea wakati wa Mkapa?Kwanini tusianze kuzianika mambo yake hapa JF wenye data wazianike humu.Humu JF hamna wana Igunga watujuze hali halisi ya hewa ya kisiasa?Huu ndio muda wa kuwahukumu walinda mafisadi na wanaoogopa kuchukua maamuzi magumu yenye manufaa kwa nchi yetu.
 
Mi nadhani magamba kumteua Mkapa kwenda igunga ni advantage kwa vyama vya upinzani so sioni sababu ya wao kuwaamsha usingizini.
 
Sababu za kwenda Igunga Mkapa anazo, na sababu za kutokwenda Igunga pia zipo.

Sababu za kwenda: Usalaama wa viongozi waliostaafu lakini wakiwa na kashfa zinazoweza kupelekea kuvuliwa kinga za kushitakiwa, unategemea CCM kudumu kuwa madarakani hadi wafe. Mkapa anatamani sana aiokoe CCM huko Igunga, kwasababu kupoteza jimbo la Igunga ni maandalizi makubwa ya CCM kupoteza majimbo mengi na hata hadhi ya chama tawala. Kwa sababu hiyo sasa hivi Mkapa ana kibarua cha kufanya maamuzi ya kwenda au kutokwenda.

Sababu za kutokwenda: Hakuna mtu anayependa kuumbuliwa, au kukumbusha makosa yake ya siri. Hasa mtu alipata kuwa katika nafasi ya kuheshimiwa, kuabudiwa, kupigiwa makofi, kushangiliwa, kutukuzwa, kuimbiwa nyimbo za sifa, kuongoza vyombo vya ulinzi, nk. Mtu wa namna hiyo huona aibu kuuuubwa sana kuikabili hadhira iliyompa hizo heshima na sasa hadhira hiyo inafahamu kuwa kumbe alikuwa fisadi tu. Inatisha! Inaweza kumuangusha mtu kwa BP na kufa!

Vilevile, tukizingatia kuwa sasa hivi upinzani Tanzania umeshakuwa na nguvu nyingi za kusema na kupata taarifa za siri ili kuthibitisha maelezo yao. Hili linaweza kumtisha mtu yeyote, hata rais Bush mwenye moyo mgumu kujitokeza mbele ya mazingira ya namna hiyo. Kwahiyo, hakuna anayejuwa Mkapa ataamuaje. Ila mwisho wa siku ni yeye ndiye atakayeamua kuokoa chama chake, au kujiepusha na aibu ya kukumbushwa historia yake ama kuibuliwa makubwa zaidi yaliyokuwa yamebakizwa.
 
Wana Igunga tenganisheni mchele na chuya.Kuleni fedha zao ila muwachague wanamageuzi.
 
Tuhuma zake wa2 wamezisahau ,kiwira,rada,ndege ya raisi, nyumba za serekali na tuhuma za m/kiti Jk bado mpya (waswahili wanasema Mavi yakale hayanuki)

Tehe tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!.....Mavi ya kale hayanuki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Teh teh teh teh teh teeeh..........! Mbavu zinaniuma mie, hawa jamaa waeshagundua kuwa pale Igunga hawana kitu, kwa hiyo kumpeleka mkulu pale ni kumwaibishi tu, nasikia na RA atakuwepo kutoa support hivi hii inawezekana kweli wakuu
 
Teh teh teh teh teh teeeh..........! Mbavu zinaniuma mie, hawa jamaa waeshagundua kuwa pale Igunga hawana kitu, kwa hiyo kumpeleka mkulu pale ni kumwaibishi tu, nasikia na RA atakuwepo kutoa support hivi hii inawezekana kweli wakuu
<br />
<br />
Eti Mtu aliyejiuzulu kwa aibu ana umuhimu tena pale alipoondoka kwa aibu ya ufisadi.
 
Mkapa akikataa wampeleke Yusufu makamba anajitahidi kwa kuropoka
 
Nitamshangaa sana Ben iwapo atajitosa kwenye kusima hiki (magamba) ambacho wachimbaji wake (Nape, Kikwete, Chiligati, Msekwa) wamekaa pembeni, kwa nionavyo mimi kwenye maji (Igunga) kuna mamba wakali (Chadema na Cuf) ambao hawajala siku nyingi mno wanasubiri atakayejitosa awe kitoweo kwao
 
Eid Mubarak wana Jf.Twende Igunga kwanza...sisiyem kumtumia Ben hiyo ni haki yao ingawa lzm tuwe na dought kwani maswali haya ni muhimu.WHY BEN? FOR WHAT? Kwa wepesi zaidi utaambia jamaa alifanya vzr wakati wake.2.Kuonesha heshima kwa wana Igunga pia na kurudisha political and social capital kwa CCM hapo Igunga.My concern kweli Ben alifanya vizuri?Maovu yake yana athari zipi hapa TZ?Au tu kwakuwa wabongo wepesi wa kusahau na wagumu wa kuelewa na kufanya mahamuzi sahii.
 
Natabiri Mkapa hatakanyaga igunga baada ya vitisho kuanza kutolewa leo kuwa watu wataanika maovu yake yote. Na kwa kuwa Mkapa hapendi malumbano huwa anachagua kukaa kimya hatakubali kwenda kuanikwa hadharani kwa wana Igunga. Halafu hizi siasa za akija fulani ndio kampeni zitakuwa nzuri tuziache, tushobokee sera kwani tumeishadanganywa sana. Hivi wana Igunga hata akija Rostam kukampeni mumchague mtu ambaye hamumpendi na mkazidi kuwa maskini atawasaidia nini? Kama anataka kuwasaidia angeendelea kuwa mbunge, na kwa kuwa amewatosa na nyie mtoseni?
<br />
<br />
Ni kweli hata ni ningekuwa mkapa nisingeenda mana uko kutakuwa kudhalilishana. Chonde chonde Mkapa pamoja na wizi wako wote usiende Igunga utaumbuka. Chadema ni hatari tutakuacha uchi. 'KUTOENDA NI HATARI ILA KWENDA IGUNGA NI HATARI ZAIDI'
 
Mkuu FF, tatizo unasoma report zilizoandikwa na RA mwenyewe, Ukifika Igunga hakika utakuwa na huruma na binadamu wenzako waishio Igunga.

Mimi nna huruma na binaadam wenzangu siku zote, hususan waliopotea na kuamini bendi tatu. 3 in 1. Maskini ya mungu, wanamacho lakini hayaoni, wana masikio lakini hayasikii, wana midomo lakini haisemi! Wanatia huruma sana.
 
Mimi nna huruma na binaadam wenzangu siku zote, hususan waliopotea na kuamini bendi tatu. 3 in 1. Maskini ya mungu, wanamacho lakini hayaoni, wana masikio lakini hayasikii, wana midomo lakini haisemi! Wanatia huruma sana.

teh teh teh! niambie mpenzi. missed you!
We roho ya huruma uipate wapi we mwanamke mwenye roho kama ya mchawi? unafaidika na uchafu unaofanyika ndani serikali ya shemeji yako!
 
Naomba mchangie kwa hili, kwann CHADEMA,CCM na CUF wanataka kutumia helcopter kwenye kampeni ni jimbo dogo na linaweza kufikika kirahisi
 
Kwa sababu Watanzania wengi ni washamba (80%) na hawana exposure. Helicopter ni kivutio kikubwa cha washamba kujazana kuitazama na kampeni ni kupata watu utakaowaeleza sera zako na kuwakinaisha, kila unapopata wengi kukusikiliza unakuwa na chance kubwa ya kuwarubuni wakuchague.
 
Wanataka kuhalalisha vurugu, kwani watu wakija wengi kwenye mikutano yenye helikopita basi hakuna atakayesema nimeshindwa kihalali. Tusubirini vurugu hizo zinahalalishwa.
 
FAIZAL UMESEMA KWELI, USHAMBA WA WATZ, utawafanya watu waamini ahadi hewa na maisha ya pepo huku maisha ni magumu tu
Wanyamwezi mpooooo!!! ipeni CCM tena mje mlie kama mlivyomlilia Rostam maana tuliwaona kwenye vyombo vya habari, mna machozi ya kujiuzulu mtu lakini hamna machozi ya nchi hii inapoliwa, nyambafu zenu
 
Back
Top Bottom