mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao.