Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 878
- 3,920
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani ya matrilioni kwa bilioni 5 tu.
Tunamshukuri kwa kutusanua jumla ya migodi iliyopo pale, lakini hoja ya msingi bado hajaijibu.