Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?

Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?

AWpgte_large.jpg
 
Baba yake nani? Nami nauliza tu

Yule kijana aliyetoka Bongo hivi karibuni.
Aliyedaka mshiko kutoka kwa RAis ili atoe utetezi wa kufa na kupona kwenye thread zote zinazomfunua huyo mto mshiko!

Ni huyo??
 
Yule kijana aliyetoka Bongo hivi karibuni.
Aliyedaka mshiko kutoka kwa RAis ili atoe utetezi wa kufa na kupona kwenye thread zote zinazomfunua huyo mto mshiko!

Ni huyo??

Yeah...ndo huyo huyo...kumbe unamjua halafu unajifanya kuniuliza mimi...ahahahahahahaha...wewe mchokozi kweli

Si umeona kaanza kuchimba biti....
 
mwanakijiji ungekuwa unajua jinsi unavyochukiwa......4 ur information linaandaliwa fungu kukununua......tukikuona kimya tutajua umeshafika bei......
Mkuu, i don't think this is possible MASWALI ambayo ameyauliza ni Mengi mno,yapo katika MAANDIKO &SAUTI(10K+posts,Cheche,.com,onAir) na yanahitaji MAJIBU yenye ufasaha wa hali ya juu,sidhani kama atapenda/ataweza kuwa tena huo UPANDE WA PILI kuyapatiya majibu maswali hayo kwa usahihi, isitoshe jamani ka-Inzi usually get its stuff from people who promised somebody else that they would keep it a secret, sasa sidhani Mwn.Kjj would want to take such a risk, he knows the rules of the game....ka-Inzi kameshatotoa mnoo!!...tutajua tuu.
 
Yule kijana aliyetoka Bongo hivi karibuni.
Aliyedaka mshiko kutoka kwa RAis ili atoe utetezi wa kufa na kupona kwenye thread zote zinazomfunua huyo mto mshiko!

Ni huyo??
Mhh! inaelekea hawa tuliyonao humu ndani tayari kazi imewashinda au??
 
Rostam Aziz hawezi kukanusha chochote katika hayo aliyoyasema Mtikila kwa sababu ni ya kweli kabisa. Kuna wakati Mtikila alitaka kulipeleka hili suala mahakamani lakini nadhani alichukua mahela kwa Rostam na akaufyata. Lakini tayari tumepata pa kuanzia ili kumtia adabu huyu Muajemi Rostam Aziz ili ajue kuwa nchi hii ina wenyewe!
 
mzee unajua anavyofikiria Rostam? LOL



Hawezi kusema ninavyosema mimi na hisia zangu haziwezi kuwa kama za kwake.

Mkuu hoja zenu sawa na hata mimi nilifikiria utajibu hivyo kabla hata hujajibu..Au kwa sababu mimi ni mweusi mwenzako tunatofautiana na RA kimawazo!
 
Kwa kweli kwa yanayotokea sasa katika nchi yetu ni vituko,hatuna budi wazalendo wote tujitolee kuilinda nchi hii.
 
udaku mwingi sana..

tunapiga kelele sana kwanini msiende mahakamani ili mmmuwekee kinga avuliwe URAIA.Mpaka mtua mekuwa Mbunge mlikuw awapi kusema yeye siyo Raia?huku ni kushindwa kwa hoja na kuweza kushnikizwa yeye kung'oka!

Mie navyojua Jedwali La RA hakuna mtu ambaye anaweza kuruka,hasa wale wapambanaji wote walioko Juu..Ni watu wachache kama Mzee Mwanakijiji(atakuwa kwenye Jedwali lingine)!

Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania wanasumbuliwa na Njaa tu na umasikini sababu ya elimu zao za ovyo na hawana uwezo wa kujijngea kimaendeleo!Kila siku kujipendeke za kwa wakurugenzi wa makampuni wawe wanaandika habari zao.The same the do kwa viongozi wa Serikali!

Mie sielewe,wakati mwingine nahisi inawezekana ule Mwenge wa Uhuru uliharibu akili za WAtanzania Wengi!Haiwzekani leo wazee sijui wa bukuba ,dodoma na mikoa mingine wawe na njaa na Bado wanasema Wanafurahia utawala unaolalamikiwa!
 
Anyway, mkuu Trust me, unapomtafuta Rostam kwa maswala ya uraia inawapa nguvu zaidi mafisadi kwani sasa hivi inaonyesha wazi tumeishiwa hoja.. Kumbana kipa wakati refa yupo nyuma yako unaomba kadi nyekundu, wakati ndio kwanza kipimnndi cha pili kinaanza...Na ukipewa hiyo kadi basi kumbuka team yako inabakia na wachezaji 10..Kinachofuata ni wao kujihami wakati Rostam na kundi lake wanafanya mashambulizi..
Nakwambia haya kutokana na uzeofu wa mambo haya na kubali mkuu Umri ni moja ya elimu dunia.. Sii tu Utakwama bali utatugharimu jitihada kubwa za wazalendo ktk kutafuta mbinu za kulivua hili Jipapa..

More upupu!! Katika mapambano dhidi ya mafisadi silaha zote zitatumika ili mradi lengo litimie. Who are you kuanza kuwachagulia silaha wapambanaji??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom