udaku mwingi sana..
tunapiga kelele sana kwanini msiende mahakamani ili mmmuwekee kinga avuliwe URAIA.Mpaka mtua mekuwa Mbunge mlikuw awapi kusema yeye siyo Raia?huku ni kushindwa kwa hoja na kuweza kushnikizwa yeye kung'oka!
Mie navyojua Jedwali La RA hakuna mtu ambaye anaweza kuruka,hasa wale wapambanaji wote walioko Juu..Ni watu wachache kama Mzee Mwanakijiji(atakuwa kwenye Jedwali lingine)!
Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania wanasumbuliwa na Njaa tu na umasikini sababu ya elimu zao za ovyo na hawana uwezo wa kujijngea kimaendeleo!Kila siku kujipendeke za kwa wakurugenzi wa makampuni wawe wanaandika habari zao.The same the do kwa viongozi wa Serikali!
Mie sielewe,wakati mwingine nahisi inawezekana ule Mwenge wa Uhuru uliharibu akili za WAtanzania Wengi!Haiwzekani leo wazee sijui wa bukuba ,dodoma na mikoa mingine wawe na njaa na Bado wanasema Wanafurahia utawala unaolalamikiwa!
za mwizi ni arobaini.... arobaini ya Rostam Azizi inakaribia kwa kasi sana kuliko washauri wake wanavyomwambia.