Bongo ndio wanamiliki gazeti la mwananchi, the citizen na mwanasport.yes ni kosa kubwa sana katika uchumi kutoa pesa ndani kuitoa nje. I hope hiyo kampuni ifanye operation zake Ndani na nje mwisho wa siku super profit irudi nchini

Bye bye Freedom of Press! Samia and his cronies are crossing the border. Poleni sana, uhuru wa habari ndiyo umekufa.Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz, ainunua kampuni ya vyombo vya habari ya Kenya ya Nation Media Group yenye makao makuu yake jijini Nairobi nchini Kenya.
Rostam ameinunua kampuni hiyo baada ya makubaliano ya kimkataba na mmiliki wa awali ambao Taasisi ya Agha KaN.
Miongoni mwa vituo vya habari vinavyomilikiwa na Nation Media Group ni Gazeti la Daily Nation, The East African, Daily Monitor, Taifa Leo, Business Daily, Television ya NTV.
Lakini pia inamiliki vyombo vya habari vilivyopo TANZANIA na Uganda ikiwemo Magazeti ya Mwananchi na mwanaspoti Tanzania.
View attachment 3556136View attachment 3556137View attachment 3556138
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz, ainunua kampuni ya vyombo vya habari ya Kenya ya Nation Media Group yenye makao makuu yake jijini Nairobi nchini Kenya.
Rostam ameinunua kampuni hiyo baada ya makubaliano ya kimkataba na mmiliki wa awali ambao Taasisi ya Agha KaN.
Miongoni mwa vituo vya habari vinavyomilikiwa na Nation Media Group ni Gazeti la Daily Nation, The East African, Daily Monitor, Taifa Leo, Business Daily, Television ya NTV.
Lakini pia inamiliki vyombo vya habari vilivyopo TANZANIA na Uganda ikiwemo Magazeti ya Mwananchi na mwanaspoti Tanzania.
View attachment 3556136View attachment 3556137View attachment 3556138
Yamepigwa pini na utawala wenuAnzisheni media zenu, Tanzania daima na mwanahalisi yameishia wapi?
Tanzania daima kesi na wafanyakazi wake iliishia wapi?Yamepigwa pini na utawala wenu
Sasa magazeti ya Mwananchi, the Citizen Tanzania ambayo ni mali ya Nation Media Group ya Kenya, kwisha habari yake.Kupitia taarifa iliyotolewa Jumanne, AKFED imesema imefikia makubaliano ya kuuza hisa zake zote katika NPRT Holdings Africa Limited (NPRT) kwa Taarifa Ltd. Kampuni ya NPRT inamiliki asilimia 54.08 ya hisa katika Nation Media Group.
Najuwa sana Mkuu LOTH HEMA ila ngoja tuwajuze hawa wana CHADEMA akina Tindo, Proved Mshana Jr, Kalamu, Yoda, Erythrocyte, Lord Denning, Carlos The Jackal, The Palm Beach maana kila wakiona uwekezaji wa Rostam wanapagawa wakidhani ni kodi ya Watanzaniasio nchi jirani tu hata bongo kuna magazeti ya Nation media na kiwanda chake cha uchapaji. Usichokijua Rostam alikuwa mmiliki wa kampuni ya magazeti ya New Habari Media pale Sinza kijiweni ikichapa magazeti ya Mtanzania, Rai, Dimba na The African. Kwa hiyo Rostam kwenye biashara ya uchapishaji magazeti si mgeni
Magic Fm na Channel Ten alizonyang'anywa na jiwe alizichukua lini kutoka CCM?sio nchi jirani tu hata bongo kuna magazeti ya Nation media na kiwanda chake cha uchapaji. Usichokijua Rostam alikuwa mmiliki wa kampuni ya magazeti ya New Habari Media pale Sinza kijiweni ikichapa magazeti ya Mtanzania, Rai, Dimba na The African. Kwa hiyo Rostam kwenye biashara ya uchapishaji magazeti si mgeni
Sioni lolote la maana unaloniitia hapa. Unataka nijadili Roast Azziz ambaye hana msaada wowote katika ukombozi wa taifa hili toka mikononi mwa wahalifu?Najuwa sana Mkuu LOTH HEMA ila ngoja tuwajuze hawa wana CHADEMA akina Tindo, Proved Mshana Jr, Kalamu, Yoda, Erythrocyte, Lord Denning, Carlos The Jackal, The Palm Beach maana kila wakiona uwekezaji wa Rostam wanapagawa wakidhani ni kodi ya Watanzania